Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,083
CCM ni ile ile, hiyo video ina mambo mengi sana ya kujifunza ndo maana jamaa hawataki bunge liwe laivu kabisa. Hebu msikie spika kuna sehemu anamuattack Wenje as if ni kosa kusema hayo anayoyasema. Yan jamaa saiv ni kama matatizo yote yaliyopo ni sababu ya ukawa kumbe ni wao, hao wakina Mwanri si wapo? yan kama kweli Magu anatumbua majipu hakuna wa kubaki nchi hii.