MK254 JF-Expert Member May 11, 2013 32,237 50,398 Jun 6, 2016 #1 Tunawaenzi na kuwapenda watu wetu hawa, Mungu awabariki. Tamasha limebeba jina la beauty behind the skin, Tamasha limetumbuizwa na wanamziki mbalimbali wakiwa na ujumbe wa kukemea na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Maoni yangu: Nawapongeza sana wote walioandaa tamasha hili kwani ndugu zetu albino walikuwa wamekuwa na tafsiri tofauti kwenye jamii.
Tunawaenzi na kuwapenda watu wetu hawa, Mungu awabariki. Tamasha limebeba jina la beauty behind the skin, Tamasha limetumbuizwa na wanamziki mbalimbali wakiwa na ujumbe wa kukemea na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino). Maoni yangu: Nawapongeza sana wote walioandaa tamasha hili kwani ndugu zetu albino walikuwa wamekuwa na tafsiri tofauti kwenye jamii.
1 1 Africa JF-Expert Member Apr 8, 2016 905 535 Jun 6, 2016 #2 This is a good way of making them feel accepted in the society.
Sammuel999 JF-Expert Member Jun 1, 2016 3,481 2,346 Jun 6, 2016 #3 Some Tanzanians are salivating profusely
saadeque JF-Expert Member Feb 23, 2015 2,169 1,356 Jun 6, 2016 #4 Sammuel999 said: Some Tanzanians are salivating profusely Click to expand... hahahaaa....we ni fala aki!!!!
Sammuel999 said: Some Tanzanians are salivating profusely Click to expand... hahahaaa....we ni fala aki!!!!
MK254 JF-Expert Member May 11, 2013 32,237 50,398 Jun 6, 2016 Thread starter #5 Sammuel999 said: Some Tanzanians are salivating profusely Click to expand... Uuuuuiiii!!! Aki wewe you owe me a keyboard, poured my coffee on it when laughing out loud. Haufai wewe!!
Sammuel999 said: Some Tanzanians are salivating profusely Click to expand... Uuuuuiiii!!! Aki wewe you owe me a keyboard, poured my coffee on it when laughing out loud. Haufai wewe!!
kui JF-Expert Member Mar 2, 2009 6,467 6,499 Jun 6, 2016 #6 Sammuel999 said: Some Tanzanians are salivating profusely Click to expand... mxieuuwwww!
kui JF-Expert Member Mar 2, 2009 6,467 6,499 Jun 6, 2016 #7 Jokes aside, this's good Kenyans!, Kwa hili nawapa mia. I wish tufanye something similar to bring awareness pia.
Jokes aside, this's good Kenyans!, Kwa hili nawapa mia. I wish tufanye something similar to bring awareness pia.
1 1 Africa JF-Expert Member Apr 8, 2016 905 535 Jun 8, 2016 #8 Mr.and Ms. Albino will be crowned in August in Nairobi.