Video: Show Me - Harmonize x Rich Mavoko

Ngoja nikamnunulie mamsapu wangu hayo maviwalo kama ya hao mavideo vixens leo na Hili baridi ani showme.
Haiwezekani niishie kuona kwenye livideo tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kama mpira maradonna ...kona kichuyaa poaa bhanaaa
 
Kwa vigezo vya zidi ya madawa ya kulevya hii nyimbo inapaswa kufungiwa au ifanyiwe remix,sikilizeni pale mwishoni anapoanza na 'chaukucha ' den anataja vijiwe vyakupata chaukucha.
 
Honestly hamna kitu kinaboa kama production za wasafi! They suck, hata huyo diamond mwenyewe angeanza na production za namna hio kutoboa ingekua ndoto.

Ukweli ni kwamba Producer Manecky wa A.M Records ndio amefanikisha kwa kiasi kikubwa kumnyanyua diamond kimuziki.

Tazama nyimbo kama Kamwambie, Mawazo, Mbagala, Ukimwona na zote za mwanzoni zilizomfanya apendwe halafu linganisha na production zake za sasa akiwa mwenyewe bila kolabo. Kwa haraka utaona kila nyimbo mbovu tu
 
ukimuona bonge la beat!......katika nyimbo zote za diamond ukimuona ndio the best
 
Msitake kuwapangia watu kazi zao, kama mnawajua maproducer na studio nyingine kwanini hamuendi mkaimbe tusikie hizo nyimbo zenu?
Kwa hiyo mashabiki wasitoe maoni?Acha uzamani wewe.Ni man is perfect ndio maana wenye akili hupokea maoni.
 
Back
Top Bottom