Nyie mpambeni tu magufuli ili aingie mzimamzima mumfanyie uhuni wenu. Kwa ninavyowajua watusi, mnamsogeza karibu baada ya muda tutasikia. Magufuli ana uzuri/wema gani kwa paka kuliko museveni ? Museveni ni mjomba wenu, aliwaajiri Uganda mlipokuwa wakimbizi kule, paka alikuwa kiongozi mkubwa sana Uganda , kubwa zaidi, kama sio museveni, paka asingekuwa rais Rwanda. Aliwapa msaada wa kijeshi hadi mkaipata Rwanda, matokeo yake, paka alimgeuka mjomba wake walipokutana drc walipozidiana kete (wizi wa madini) na wakachapana sana. Sasa mdanganyeni magufuli na kama hana taarifa zenu vizuri amuulize Jakaya na Nkurunziza.Mahusiano baina ya wananchi has always been good. Rwanda inatambua mchango wa Tanzania katika kuleta maendeleo ya nchi yetu. Hapa katikati kuna kamdudu kaliingilia kati lakini sasa nadhani we are back on the road. Kuna watu wenye nia mbaya (read jMali et la.) ambao walikuwa wanafurahia kuona uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania ukiwa mbaya lakini kama ile nyimbo ya R.Kelly, "the storm is over". Hii miaka kumi ijayo, tutahakikisha tunaweka msingi mzuri so that vizazi vijavyo vya akina jMali visiweze kabisa kuturudisha nyuma.