VIDEO: Mkuu wa Wilaya ya Karagwe atumia JWTZ katika mapambano ya Mihadarati (Bangi)

Mzee wa watu kajichokea masikini, umasikini ndio chanzo cha yote haya...
 
Kudhani Marijuana ni "hard drugs" ni kupotoka na kufuata mkumbo tu.

Marijuana inamchanganyiko wa THC. Haiuwi wala kuleta matatizo ya akili. Watu wengi si wafuatiliaji na hii ndiyo tatizo.

Kingine watu hudhani marijuana ni kwaajili ya kuvuta tu. Hawajui lolote kuhusu medical marijuana. Hawana habari pale watu wanaougua cancer hupewa mchanganyiko wa marijuana kupunguza maumivu makali wanayopata.

Holland wao wanaruhusu marijuana na watu wana spliff bila tatizo lolote. Hakuna vichaa pale. Pia majimbo kadhaa US sasa wameruhusu pia.

Hapa kuna watu wanaona marijuana ni hatari lakini wao wanaishi kwakutumia dawa kali kabisa za Hospital na wanaona sawa tu. Inabidi watu wafunguke bongo zao wajifunze mambo mapya.

Kweli dude linaloitwa government linawashikia akili mamilioni ya watu. Kamwe hawataweza kuchunguza mambo na kuamuwa kwa fikra huru.
Poleni sana
Utakuwa MLA NDUMU wewe siyo bure maana huwa mna visingizio viiingi
 
Are you serious??????????? Watu wamevalia kombat na silaha mkononi halafu unasema ni sawa na kusafisha mtaa?Katika karne ya leo wanajeshi wale wakimpiga mtu au kumtesa tume itaundwa na pesa itatumika bila sababu.Tuwe serious jamani!!!!!
Ulitaka wanajeshi wabebe bakora?Kuna chembe zozote za mabavu humo kwenye video?
 
Jinsi huyu mzee alivyojitetea imebidi kila mtu acheke hadi askari wenyewe. Msikilize hapa chini kwenye hii youtube video
 
Hiyo bangi yote waliyoondoka nayo hao wanajeshi wanaenda kuifanyia nini? Au wanaenda kulishia 'mbuzi wa jeshi'? Kama ni kielelezo cha polisi, mche mmoja tu ungetosha...
 
Kudhani Marijuana ni "hard drugs" ni kupotoka na kufuata mkumbo tu.

Marijuana inamchanganyiko wa THC. Haiuwi wala kuleta matatizo ya akili. Watu wengi si wafuatiliaji na hii ndiyo tatizo.

Kingine watu hudhani marijuana ni kwaajili ya kuvuta tu. Hawajui lolote kuhusu medical marijuana. Hawana habari pale watu wanaougua cancer hupewa mchanganyiko wa marijuana kupunguza maumivu makali wanayopata.

Holland wao wanaruhusu marijuana na watu wana spliff bila tatizo lolote. Hakuna vichaa pale. Pia majimbo kadhaa US sasa wameruhusu pia.

Hapa kuna watu wanaona marijuana ni hatari lakini wao wanaishi kwakutumia dawa kali kabisa za Hospital na wanaona sawa tu. Inabidi watu wafunguke bongo zao wajifunze mambo mapya.

Kweli dude linaloitwa government linawashikia akili mamilioni ya watu. Kamwe hawataweza kuchunguza mambo na kuamuwa kwa fikra huru.
Poleni sana
Wewe lazima utakua Ni mvuta bange
 
Hahahaha anakwambia nikivuta mbangi naweza lima msitu......ila mzee kajichokea maskini
 
Kudhani Marijuana ni "hard drugs" ni kupotoka na kufuata mkumbo tu.

Marijuana inamchanganyiko wa THC. Haiuwi wala kuleta matatizo ya akili. Watu wengi si wafuatiliaji na hii ndiyo tatizo.

Kingine watu hudhani marijuana ni kwaajili ya kuvuta tu. Hawajui lolote kuhusu medical marijuana. Hawana habari pale watu wanaougua cancer hupewa mchanganyiko wa marijuana kupunguza maumivu makali wanayopata.

Holland wao wanaruhusu marijuana na watu wana spliff bila tatizo lolote. Hakuna vichaa pale. Pia majimbo kadhaa US sasa wameruhusu pia.

Hapa kuna watu wanaona marijuana ni hatari lakini wao wanaishi kwakutumia dawa kali kabisa za Hospital na wanaona sawa tu. Inabidi watu wafunguke bongo zao wajifunze mambo mapya.

Kweli dude linaloitwa government linawashikia akili mamilioni ya watu. Kamwe hawataweza kuchunguza mambo na kuamuwa kwa fikra huru.
Poleni sana
Wavuta bangi hamjifichi!
 
Facts - trying to mislead people on the usage of the fucking weed ? Say what you can say with the whooping number medical books ( though i'm also in the medical field ), link weed smokers with any spiritual reason but the fact remains naked that smoking weed is a nonsensical mental problem
You just bunch of bullshit. You got no point to convice me marijuana is harmful. So do you think being a medical personel makes you differnt from other embacile who think the same as you do. Get your info from un biased sources about marijuana. And to remind you, marijuana is not only for recreational reasons or spiritual reasons. I have family friend uses herb for medical reasons. You hear that you dumb ass?
 
Wavuta bangi hamjifichi!
Man you are damn wrong. Herb is jus a plant. You must be on your drugs to think herb is hurmful because the so called government tells you to think so. Get your information from unbiased sources. And last not least mary-jane is not for everyone. Hear that you dumb ass?
 
Sidhani kama ni wanajeshi, nahisi ni jkt maana hata gari wametumia la magereza.
JKT wanavaaga Hiyo Jezi? Kuwa Makini Unachokiongea walioko Mafunzoni wanavaa Bukta wakimaliza Mafunzo wanapewa Ile Combat ya Kijani yenye Maneno JKT JKT JKT. Hiyo jezi wanavaa askari wa JWTZ na Si JKT
 
Nilishangazwa na huyo mkuu kuvunja Sheria na kupakizana mishikaki kwenye pikipiki!! Yaani mtunza usalama nae anavunja Sheria... Akarepoti kwa mpinga haraka.
 
Back
Top Bottom