Wewe ulie tu...Binafsi, simfikirii Kikwete na sijawahi kummiss hata siku moja. Kaondoka madarakani na tumeona uozo aliokuwa anaufuga mpaka nchi ikawa inachezewa na wapuuzi. Anayemfagilia Kikwete lazima alikuwa ananufaika na ujinga aliokuwa anaufuga, aende zake huko Msoga, tunataka Tanzania ya viwanda si ya wauza unga na wachina wafungwa wanaoletwa huku Bongo kuja kuwekeza kuuza kahawa misikitini na kuchoma mihogo mtaani.
Kwahiyo ukiwa Rais kwa unavyofikiria wewe haitakiwi hata kujiburudisha!
Haitakiwi hata kufanya utani au kamzaha fulani!
Busara gani unaijua wewe!
Na hawa ntakaokuekea hawana Busara?
Jionee mwenyewe
Wewe ulie tu...
Wewe ulie tu...
Wewe ulie tu...
Yake inayeyaaaa...
Wewe huna lolote, unasumbuliwa na chuki zako binafsi.
Hizo shutuma unazompa wala huna ushahidi nazo, ni maneno ya uvumi unayoyasikia au uliyowahi kuyasikia.
Mimi sijawahi kunufaika na lolote, wala chochote kutoka kwa Mheshimiwa KIKWETE, lakini namfagilia sana.
Wewe unasemaje?
Kwahiyo ukiwa Rais kwa unavyofikiria wewe haitakiwi hata kujiburudisha!
Haitakiwi hata kufanya utani au kamzaha fulani!
Busara gani unaijua wewe!
Na hawa ntakaokuekea hawana Busara?
Jionee mwenyewe