Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Hata Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuandamana na Mbowe🐼
1000017051.jpg
 
Wakuu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.

Mbowe na Lissu mitano tena kwa nafasi zao za sasa. Wapinzani wao ndio wanaopiga kelele wasiendelee kwa kuwa wanawaogopa kisiasa kutokana na wao kuishiwa pumzi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom