Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
10,283
15,683
Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi.

Tizama Video

Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza.
ece74197dff93bc4.jpg

View: https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
 
Attachments

  • Police_strike_armed_suspect_with_cruiser_after_gunman_fires_into_air,_aims_at_passing_cars(360p).mp4
    1.5 MB
Mkuu unafananisha weledi wa hawa polisi wa kwenye hiyo clip na hawa waliomuua Akwirina? Seriously?

Hawa ni polisi au majambazi wenye uniform?
Nimekumbuka tu kifo cha Hamza.

Mwamba alifariki na Siri nyingi sana
 
Ujinga wa ishu ya Hamza eti baada ya kumaliza risasi zake kanyoosha mikono juu ndio polisi wakammiminia risasi Mia nne, mafala kweli.

Alafu asubuhi eti wanapewa zawadi, pumbafu kabisa
Makosa sana
 
Hamza alikuwa armed na assault riffle (AK 56) which is offensive, wakati huyu amateur yuko armed na pistol (defensive).

Huwezi approach mtu yupo armed na assault riffle, tena mbili, zenye magazine yenye 30 rounds each (total 60 rounds) na kagari kako unless unataka kugeuzwa chekecheke.

Kingine, alijitakia kifo mwenyewe, alijikuta rambo, upo mahali exposed afu unarushiana risasi na armed police men, kwani we ni mwili wa chuma au some kind of super hero?
 
Kunguru ni ndege mdadisi na mwenye kiburi sana, ni mwepesi wa kugundua mienendo inayoweza kuwa hatari kwake na hivyo kuepuka hatari na kuendelea kuchunguza kwa mbali huku akialika kunguru wengine waje kushuhudia kama mzoga unalika.
Ushauri kwa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha upelelezi: Tumieni idadi kubwa ya kunguru walioka Dar es salaam kupata taarifa za kiinteligensia, wakamateni wakiwa wachanga, wafanyieni mafunzo, watakaohitimu wavishwe kamera. tawasaidia sana kuona matukio mengi jijini.
 
Unaongelea hawa wa wanaogombania kuvunja Wapinzani miguu ili wapandishwe vyeo?

Hawa wanaotembea na ilani za CCM mifukoni?

Tanzania hatuna Polisi tuna Walinzi wa CCM.
 
Mbona Hamza risasi zilimwishia?
Hivi suluhisho lilikuwa moja tu ?
A good thing alikuwa hawashambulii raia
 
Unaongelea hawa wa wanaogombania kuvunja Wapinzani miguu ili wapandishwe vyeo?

Hawa wanaotembea na ilani za CCM kwenye mifukoni?

Tanzania hatuna Polisi tuna Walinzi wa CCM.
Inasikitisha sana
 
Kunguru ni ndege mdadisi na mwenye kiburi sana, ni mwepesi wa kugundua mienendo inayoweza kuwa hatari kwake na hivyo kuepuka hatari na kuendelea kuchunguza kwa mbali huku akialika kunguru wengine waje kushuhudia kama mzoga unalika.
Ushauri kwa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha upelelezi: Tumieni idadi kubwa ya kunguru walioka Dar es salaam kupata taarifa za kiinteligensia, wakamateni wakiwa wachanga, wafanyieni mafunzo, watakaohitimu wavishwe kamera. tawasaidia sana kuona matukio mengi jijini.
😀😀 tekniki kali. 😀😀
 
Mzee baba umeiona ak 47 au unabwabwaja tu
Nimeitumia kidogo mkuu.

Kwa dhamira ya Hamza, ile siku uwezekano wakumpata akiwa hai ulikuwa mkubwa sana.

Kwani mkuu jamaa wangempiga hata miguu ingekuwaje?

Yule mwamba alikufa na siri nyingi sana.
 
Back
Top Bottom