Video : Ali Kiba akubali kua ni kweli hajui kingereza

YetuMacho

Member
May 31, 2016
16
17
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini baada ya mazoezi mengi kwa sasa yupo vizuri.

Siku chache zilizopita msanii Ali Kiba alikubali kua pamoja na kukaa katika gemu mda mrefu na kukutana na wasanii wengi wa nje lugha hiyo bado ni tatizo kwake. Japo anaweza kuongea kidogo sana kwa Kingereza ila si mtaalamu sana. Msikie hapa akifunguka kuhusiana na swala hilo....
 
Kama Kiswahili ni lugha yetu ya Taifa na hakuna aliye timilifu katika lugha hiyo ijekuwa Kiingereza?
Kiba yuko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…