Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Angalia tyres zako inaweza kuwa moja inauvimbe, angalia upepo wa tyres kama upo sawa kwa tyres zote, angalia tie rod end yaweza kuwa moja ina tatizo, angalia ball joint kama ziko vizuri zaidi ya hapo nenda kwa fundi ila kuwa mwangalifu baadhi ya mafundi ni wababaishaji
Ni mekusoma mkuu. Thanks snAngalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.
pitia hapaHabari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto.
Gari yangu spacio old model nikifikisha speed kuanzia 120km/h inaanza kutetemeka hasa katika usukani....hali hii inakuwa inanipa wasiwas wa kuongeza speed zaidi ya hapo...na hata hivyo...nikijaribu kukaza moyo na kuongeza mafuta zaidi speed haipandi kwa haraka kama inavyopanda kutoka 0 kwenda 100km/h yaani inakuwa nzito kuelekea 130km/h na mtetemeko unazidi.
Hii inasababishwa na nini....naomba ushauri wa kitaalamu.
Asante.
Habari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto.
Gari yangu spacio old model nikifikisha speed kuanzia 120km/h inaanza kutetemeka hasa katika usukani....hali hii inakuwa inanipa wasiwas wa kuongeza speed zaidi ya hapo...na hata hivyo...nikijaribu kukaza moyo na kuongeza mafuta zaidi speed haipandi kwa haraka kama inavyopanda kutoka 0 kwenda 100km/h yaani inakuwa nzito kuelekea 130km/h na mtetemeko unazidi.
Hii inasababishwa na nini....naomba ushauri wa kitaalamu.
Asante.
uko mule mule muhuni....ila ukizidisha ikatulia gari haitulii barabaraniAngalia tie rod ends,wheel alignment and balancing,steering box,reck ends (sina uhakika na spelling) na pia bushes zote za mikono ya hapo mbele. Tatizo hilo huwa linatokea Kati ya spidi 80 mpaka 120 ila ukizidisha linatulia.
Asante mkuuTie rod end kuisha,wheel balancing au streeing rack bush zimesisha au yenyewe imelegea.!
Asante kwa ushauriKama usukani unatingishika ukizidi speed 60, na ikifika 120 inaacha, basi tatizo ni wheel balance.
Hili tatizo linaitwa wobbling. Ukienda sehemu ya kupima tairi, watagongelea vyuma kwenye rim ili tairi libalance. Lakini pia ni vizuri wafanye wheel alignment.
Ila kama usukani unatingishika muda wote basi, tairi limevimba, au rim imepinda.
Zaidi ya hapo mcheck fundi mzuri atizame tie rod.
Thanks for the sourceBest Answer: If could be a few different things. The easiest thing to check is the lug nuts, make sure that they are all tight. Also it could be due to your tires, not properly balanced or incorrect air pressure. It could also be a badly worn wheel bearing, tie rod, or ball joint. The wheel bearing is not a safety issue but a tie rod or ball joint failure can be very dangerous.
source -yahooo
Asante mkuu nitafanya hivyoKitu cha kwanza ingia uvunguni kamata tue rod end fanya kama unaizungusha juu chini ikiwa inaenda kwa ulain basi tatizo liko hapo zeisha na kama unataka kuchek wheel balance and alignment iko sawa ukiwa kwenye mwendo mdogo kama 20km achia usukani uone kama gari inahama njia ikifanya hivyo basi kuna tatizo pia.!fanya zoez hiyo kwenye tambarare au kwemye lami au hata kama una eneo kubwa nyumban unaweza kulifanya kwa kwenda mbele na kurud nyuma kama itakuwa inahama pala ulipotoka basi kuna tatizo inatakiwa irud pale pale
Wadau wamejaribu kukujibu:Habari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto.