Uzi Maalumu wa Chuck Norris na Fun facts

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,365
13,207
Mfahamu Carlos Ray 'Chuck' Norris alizaliwa Machi 10, 1940 ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu.

Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama msanii wa kijeshi na kuanzisha shule yake mwenyewe, Chun Kuk Do.

Norris alikuwepo katika filamu kadhaa za vitendo, kama vile Way of the dragon, "Delta Force" na Missing in Action.

chuck.jpg

Karibu kwa fun facts za Chuck Norris
 
Tofaut na watu wengi tulivyo Chuck norris akijiangalia kwenye kioo haoni taswira yake kwa sababu chuck norris ni mmoja na pekee 😜
 
1. Unambiwa Mlango hujigonga wenyewe Chuck Norris anapofika Mlangoni!

2. Chuck Norris ndio mtu pekee anaeweza kupiga Chafya huku anacheka

3. Chuck Norris aliwafundisha paka kuwinda paka hao ndio sasa wanaitwa Simba

4. Chuck Norris anaweza kwenda South Africa kesho na akafika jana yake.

5. Chuck Norris anaweza kutembea angani, kupaa ardhini, na kutembea kwenye maji !

6. Chuck Norris alimpeleka Bibi yake hospital wakati Bibi yake akienda kujifungua mama wa Chuck Norris!

Unamjua Chuck Norris Wewe ?

chucknorris.jpeg
 
It's nice that Chuck Noriss let us co-exit with him...
Nimeyakuta kwenye page yake. Anyway anapendwa sana wanasema hazeeki
 
Back
Top Bottom