Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

Bashite aendelee kuwepo kwani anatukumbusha Ikulu inakaliwa na nani. Akitamka Ikulu imetamka na hii inatakiwa itukumbushe Watanzania tunahitaji kufanya nini. Kama unamkubali Bashite, unamkubali mpangaji wa Ikulu. Kama unazipenda kauli za Bashite lazima upende kauli za aliyemteua na kama unapenda matendo ya Bashite, lazima upende matendo ya aliyemteua. Huwezi kuchukia matendo ya Bashite ukasifu matendo ya aliyemteua, huo ni unafiki.
 
Back
Top Bottom