Uvimbe kwenye uume

Maelezo yako yanaonyesha wewe ndo mhusika, haiwezekani ueleze kila kipengele kwa hisia hivyo! Ugonjwa wa zinaa huo, unatibika usiwaze afande, zingatia tiba.
 
magonjwa ya zinaa mnayapataje? acheni zinaa au tumieni condom
afate ushauri wa daktari na sio pharmacy!ina maana hujui tofauti ya daktari na mpharmasia
ngoja nikupe na fimbo kabisa miss umchape kwasababu ameshindwa kutofautisha pumba na mchele
 
We jamaaa acha kumsingia mwenziwe, we sema tu ni mimi naumwa, mbona kujikwaa ni kawaida:):):):):):):):)
Tena ukisema ni wewe utaisaidiwa more than 100%. Anyway keep along na maelekezo aliyokupa docta.
Pia kupona kkunahitaji muda, endelea kutumia hizo dawa for 5 days hope will see changes.
Pole sana
Kwa jinsi alivyotoa maelezo ya hao wataalamu na ma doctors haiwezekani kuwa amesimuliwa.
Ni yeye haswa?
 
Back
Top Bottom