UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania

Masikitiko, majina mengine bwana.,sasa anasikitika kwa kutenguliwa.
 
Reactions: BAK
Tanzania mikononi mwa wasomi kuliko wakati wowote ule, ni muda muafaka kutathimini elimu yetu kama inaweza kutukwamua kimaendeleo.

Ikishindikana ndani hii miaka kumi kusonga mbele, basi tubadli kabisa mitaala yetu ya elimu tukaazime hata ya nchi za mbali.
 
Miaka kumi ya nani wewe?
 
Tuambieni "masikitiko" amekosea nini?
Au kuna uhakiki wa vyeti vya uprofesor jamaa kakutikana hana!!!!
 
Magufuri mjanja..aliowateua wote aliwakaimisha ili kuona kama wanakidhi... yaani walikuwa probation period.Ukifaulu ndo unapewa rungu rasmi.Sasa akina TunduLissu kushinikiza Jaji mkuu asipewe probation sijui wanagenda gani.Ngoja wafungue kesi ili ateue mwingine
Sasa nafikili teuzi inayofuata ni ya Jaji Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…