BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,810
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)
Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)