Uteuzi BAKWATA wa Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
3,713
13,463
UTEUZI BAKWATA

Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa

Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6) limefanya uteuzi wa Masheikh wafuatao kuwa masheikh wa Mikoa:-

MASHEIKH WA MIKOA

1. ARUSHA : SHABANI JUMA

2. KILIMANJARO : MLEWA SHABANI KIMWAGA

3. DAR ES SALAAM : ALHAD MUSA SALIM

4. DODOMA : MUSTAFA RAJABU

5. LINDI : MOHAMMED SAID MUSHANGANI

6. MANYARA : MOHAMMED KADIDI

7. MARA : MSABAHA KASIM NGABO

8. GEITA : ALHAD YUSUPH KABAJU

9. MTWARA : NURDIN MANGOCHI

10. SINGIDA : SHEIKH SALUM .M. MAHAMI

11. TANGA : ALI JUMA LUWUCHU

12. KAGERA : HARUNA KICHWABUTA

13. RUKWA : RASHID AKILIMALI.

14. TABORA : IBRAHIMU MAVUMBI.

15. NJOMBE : RAJABU MSIGWA

16. SIMIYU : MAHMOUD KALOKOLA

17. SHINYANGA : ISMAIL HABIBU MAKUSANYA

18. SONGWE : HUSSEIN BATUZA
19. Pwani : Abbasi Khamisi Mtupa

Masheikh hao wanaungana na
20. Sheikh Hassani Musa Kabeke wa Mwanza na
21. Sheikh Mashaka Nassoro Kakulukulu wa Katavi
ambao walishateuliwa awali.

Aidha katika kikao hicho Baraza la Ulamaa limewakaimisha masheikh wapya wa Mikoa ifuatayo:-

22. RUVUMA : ALLY MAHABA

23. MBEYA : MSAFIRI AYASI NJALAMBAHA

24. IRINGA : SHEIKH SAID AL ABRI

Aidha, taarifa hiyo imesema wafuatao wataendelea kukaimu nafasi zao mpaka pale Baraza la Ulamaa litakapofanya uteuzi rasmi kwa Mikoa hiyo.
25. Sheikh Twaha Kilango wa Mkoa wa Morogoro na
26. Sheikh Iddi Hassani Kiburwa

MAKATIBU WA MABARAZA YA MASHEIKH

Msemaji huyo wa mufti amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(7) limefanya uteuzi wa Makatibu wa Baraza la Masheikh la Mikoa kama ifuatavyo:-

1. ARUSHA : SAID ABDALLAH CHUDI

2. KILIMANJARO : TAQDIR HAJJ MUHAMMED DHAHABU

3. DAR ES SALAAM. : ALLY SAID KIZEGERO

4. DODOMA. : BUNIAMINI ABASI ABDURABI

5. NJOMBE : USTADH. SAAD ALLY

6. MOROGORO : AJALI AHMED MLENGA

7. MWANZA : ALHAJI OTHMAN MASASI

8. LINDI :
9. MANYARA UST. MWINYI MASOUD RASHID.

10. MARA : SALUM MOHAMED NYISUKA

11. GEITA : BAHARAN RAMADHANI SALUM

12. MTWARA : ABDULHAFIDH KASSIM

13. MBEYA : ABASI MSHAURI

14. SINGIDA : SHEIKH OMARY ABUBAKAR ALLY

15. TANGA : USTADH JUMA BAKARI

16. KAGERA : NAJIM MUSTAFA KHALID

17. KIGOMA : ALHAJI MAULID SANGI

18. IRINGA. : ABDULRAHIM NGOLE

19. PWANI : USTADH SALMIN AMMAR BUDAP

20. RUKWA : UST. MBEGU ABDALLAH HANGOLWA

21. SHINYANGA :
22. SIMIYU : HUSSEIN AHAMADI MBARUKU

23. KATAVI : SHEIKH MUSSA KHAMISI KAZIGE

24. TABORA : SHEIKH JABU SAID

25. RUVUMA :
26. SONGWE : SHEIKH ALLY MAMBEA

MAKADHI

Wakati huohuo Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84(13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-

1. ARUSHA : SHEIKH RAJABU HASSAN KIUNGIZA

2. KILIMANJARO : SHEIKH HUSSEIN HAMISI CHIFUPA

3. DAR ES SALAAM : RAMADHANI SALUMU OMAR KITOGO

4. DODOMA. : SHEIKH KISUSU BIN MKUMBO MWAGONDA

5. MOROGORO : SHEIKH MUSA HARUNA BORINGO.

6. MWANZA : SHEIKH HAMISI ALMASI

7. MANYARA : SHEIKH JUMA ISERE.

8. MARA : SHEIKH JUMA ADAMU

9. GEITA : SHEIKH ELIYASA SAID

10. MTWARA : SEIKH ABALLAH ALI HEMED

11. MBEYA : SHEIKH HASSAN MBARAZI

12. : SINGIDA : SHEIKH SHABANI CHAMBILA MKANGA

13. KAGERA : SHEIKH MAULANA MBARAKA JUMA

14. KIGOMA : SHEIKH IDRISA ABDULMUHSIN KITUMBA

15. IRINGA. : SHEIKH ABUBAKAR CHALAMILA

16. PWANI : SHEIKH ZUBEIR RASHID

17. RUKWA : SHEIKH KHAMISI ISSA KIGEZI

18. TABORA : SHEIKH IBRAHIMU HAJI

19. KATAVI : SHEIKH MAJALIWA MRISHO

20. NJOMBE : SHEIKH ABDALLAH SWALEHE ABDALLAH

21. SIMIYU : SHEIKH ISSA KWEZI KIDAI

22. SONGWE : SHEIKH IDD KASSIM

Taarifa hiyo imesema Mikoa Minne (4) iliyobakia uteuzi wake utafuatia baadae.

MAKATIBU WA MAKADHI WA MIKOA

Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 84 (13) amefanya uteuzi wa Makatibu wa Makadhi wa Mikoa kama ifuatavyo:-

1. ARUSHA : SHEIKH MBARAKA MUSA MTONYI

2. KILIMANJARO : USTADH ISSA JUMA ISSA.

3. DAR ES SALAAM : SHEIKH ABDULKARIM PAZI.

4. DODOMA. : MOHAMED SENDORO

5. MOROGORO : USTADH SWALEHE KASIM LUKANDA

6. MWANZA : USTADH RAMADHANI KHAMISI

7. MANYARA : USTADH ADAM ISSA ZUBEIR.

8. MARA : KUDRA IBRAHIM MIGOZI

9. GEITA : HAMISI MRISHO MLEA

10. MTWARA : MUSSA HAMISI MWARABU

11. MBEYA : ALLY KHAMIS FURUKUTU

12. SINGIDA : BDALLAH TAKAZA

13. KAGERA MIKIDADI ABASI BANOBI

14. KIGOMA : MAJALIWA AHMAD KAGAMA

15. IRINGA. : USTADH ABDALLAH KHALID

16. RUKWA : USTADH ABDALLAH HASAN KATALANGO

17. TABORA. : ATHUMANI BAKAR KABOGOTA

18. KATAVI : SHEIKH OMAR SHABANI KABWIRI

19. NJOMBE : IDD AMANI GADAU

20. SIMIYU : KASSIM RAJABU MOHAMED

21. SONGWE : HUSSEIN JUMA

22. TANGA : USTADH ALLY SALEH

Mazungumzo hayo nawaandishi wa habari yaliyofanyika leo mchana mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam yalihudhuriwa pia na katibu mkuu BAKWATA alhaj Nuhi Mruma pamoja na katibu wa mufti sheikh Mussa Hemedi
.......

Harith Nkussa
mwandishi Maalum wa Mufti
Jumatatu 5.4.2021
saa Sita na dkk 2 mchana
Ubayudi, Bolisa, Kondoa
 

Attachments

  • UTEUZI - MAKATIBU WA BARAZA LA MASHEIKH MIKOA.pdf
    143.2 KB · Views: 22
  • UTEUZI - MAKATIBU WA MAQADHI WA MIKOA.pdf
    155.6 KB · Views: 15
  • UTEUZI - MASHEIKH WA MIKOA.pdf
    143.6 KB · Views: 15
Ukipata na teuzi za makanisa yafuatayo leta

  1. Catholic Church
  2. Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT)
  3. Anglican Church Tanzania (ACT)
  4. Moravian Church of Tanzania (MCT)
  5. Africa Inland Church Tanzania (AICT)
  6. Mennonite Church in Tanzania (MCT)
  7. Baptist Church in Tanzania (BCT)
  8. Salvation Army in Tanzania
  9. Presbyterian of East Africa (PEA)
  10. Tanzania Assembies of God (TAG)
  11. Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT)
  12. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT)
  13. Kanisa La Pentekoste Tanzania (KLPT)
  14. Seventh-day Adventist Church
  15. Nakadhalika nakadhalika
 
Ukipata na teuzi za makanisa yafuatayo leta
  1. Catholic Church
  2. Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT)
  3. Anglican Church Tanzania (ACT)
  4. Moravian Church of Tanzania (MCT)
  5. Africa Inland Church Tanzania (AICT)
  6. Mennonite Church in Tanzania (MCT)
  7. Baptist Church in Tanzania (BCT)
  8. Salvation Army in Tanzania
  9. Presbyterian of East Africa (PEA)
  10. Tanzania Assembies of God (TAG)
  11. Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT)
  12. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT)
  13. Kanisa La Pentekoste Tanzania (KLPT)
  14. Seventh-day Adventist Church
  15. Nakadhalika nakadhalika
Huku hawana mikoa au wilaya wana majimbo. Na mkuu wa jimbo ana mamlaka makubwa tu. Na pesa inategemea zone au ilipo.

Hao wenzetu wanabanwa sana hata kupumua hawawezi
 
Hapo vetting imefanyika vizuri kweli?

Isije ikawa yale ya mama Samia na Thobias Mwesiga
 
Mbona sijaona majina kama Petro,Jacob,Gerson au Stanley huku kuna ubaguzi fulani 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom