Hahahaha!! Kwa hiyo jf imekuwa kama fb? Inashangaza mambo muhimu hayapewi kipaumbele! Nimeuliza hili kwa kuwa Mimi ni mwathirika wa likizo bila malipo kwa hupewa mshahara wako tu na ukirudi inabidi usubiri mwezi utakaofanya kazi kifupi lazima uwe omba omba niliulize kazi nafanyia wapi na ninaishi wapi! Mbande to Bagamoyo! Believe or not!