Utata juu ya majibu haya ya vvu

Sina utaalam ila nahisi chumvi imechanganyika na sukari sasa anatakiwa baada ya miezi sita arudi ili wapime cd4 kama zina poromaka aanzishwe dawa mara moja, sina uhakika ni hisia zangu tuu
 
Habari zenu wakuu?
Naomba niende moja kwa moja kwenye utata,

Juzi kati nlikutana na mwanamke flani nikavutiwa nae kimapenz, nikamtongoza tukaelewana fastaaa.

Baada ya kuanza uhusiano, akaanza kuniandalia mazingira nimtafune, mi kwakuwa sikumjua vizur nikawa na hofu nikawa najisemea "anataka kuniua nin?"

Nikaamua kumchekecha, nikamwambia akapime vvu aniletee kikaratasi, kweli akaenda kupima tar 27/5/2017 lakin sasa nyuma ya karatasi kinaonyesha ameambiwa arud tar 27/11/2017.
Ukihesabu vizur hyo ni miez 6 baadae.

Nisichokielewa mimi sasa, mtu ukipima ukikutwa huna maambukiz si inabid urud baada ya miez 3, inakuaje ye aambiwe arud baada ya miez 6?

Naomba mnifungue macho na akili wakuu, natanguliza shukrani.
Nitumie number yake nimhoji kwa kina
 
Sina utaalam ila nahisi chumvi imechanganyika na sukari sasa anatakiwa baada ya miezi sita arudi ili wapime cd4 kama zina poromaka aanzishwe dawa mara moja, sina uhakika ni hisia zangu tuu
Lakin mkuu, sio kwamba ukikutwa na maambukiz huandikiwi siku ya kurud? Ila wewe mwenyewe utajipangia siku ya kurud
 
Ivi kwanini wanaume mnawaagiza wanawake waende kupima alafu mletewe majibu?
Kwanini msiende wote?
Tafsiri yake ni nini hasa, ni uoga au?
 
Kwa siku hizi ukipimwa Mara ya kwanza ukikutwa safi unapewa kurudi baada ya mwezi. Ukipimwa ukikutwa safi unarudi baada ya miezi sita. Ukikutwa safi unashauriwa kuwa mwangalifu. Na uupimaji wa namna hii unawahusu wale wenye wapenzi au ndoa wanangonoka kila wakati I.e risk category strata 2. Kwa wale ambao say kwa kipindi zaidi ya miezi mitatu hajangonoka huwa wanapewa 3 to 6 months kutegemeana na chances za kungonoka. Wale ambao suala la kungonoka ni history basi wakipimwa ni mwaka kucheki tena na wakiwa safi wanakuwa exempted ila wanapewa somo tu la kujikinga na kuhakikisha wenza watakaowapata wawapitishe kupimo n.k. VVU ni very trick. Cha msingi acha ngono kabisa, acha ngono nzembe na kuwa na mpenzi mmoja mnaoaminiana. Hapo kuaminiana ndiyo mtihani.
 
Kawaida tu,miongozo inabadilika day to day

Back
Top Bottom