Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

Naitwa Paul Ellyson Lugiko

Nimezaliwa tarehe 15/01/1990

Nina umri wa miaka 26

Nipo naishi Wilaya Bariadi Mkoa Mpya wa Simiyu

Sijaoa na wala sina mchumba, msebule wala mkorido sababu jogoo wangu hawifi

Nipo nakufa na utamu wangu kama muwa
Kasheshe!
 
Miaka kadhaa bado minne niitwe mzee.
Wake wawili.
Watoto 9,
From Tarime.
Makazi Dar.
Mengineyo: nategemea kuongeza mke.
 
mie nina miaka 64, nina familia, nina tatizo la kukosa hamu ya tendo takatifu,
 
Back
Top Bottom