Utamaduni wa kutukuza mambokale ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
9,332
21,566
Hi everyone!. How are you all?

Reflection ya mada hii nimeitoa kupitia uzoef wangu, nadharia zinazoelezea jamii kiujumla na kumbukumbu rejea ya movie ya mwaka 2020 inaitwa SPELL.

Tamaduni ni tabia, mawazo mitaazamo na aina fulani ya maisha anayolishwa mtu. Tamaduni kale ni tamadun zote zinazoshabihiana sana na kupendelea "uhalisi"/ nature hizi zinakwenda sambamba na matumizi ya sayansi nyota au unajim, matumiz ya miti shamba, kupinga maisha ya kisasa "conservativism/ adarmantism", kuendeleza na kudumisha mila za mababu, matambiko na vinavyoshabihiana.

Katika jamii nyingi sana mitazamo imekuwa inarithishwa vizaz na vizaz, tabia na hulka vilevile. Tabia na mitazamo hi(i)zi hudumu kila kizazi mfano "mkubwa hakosei" , "Mwanaume halii", "mungu ndo mtoa riziki" nk. Na sehem ambapo mila kale zimekamatwa kweli kweli ndipo umaskini uliokithiri ulipo. Maeneo mengi unapopatikana umaskin mkubwa utakuta kuna kiwango cha juu sana cha imani za uchawi, kuja kiwango cha kutosha kabisa cha kutukuza mila za zamani kana kwamba hazina mbadala kwenye matendo na kichwani pia

Utakuta maendeleo yanapingwa kwa njia ya moja kw moja au isiyo. Tena katika level ya mtu au jamii nzima. Kwa mtu na mtu utasikia "husda" au uchawi au kuna ile ndugu kakataa kutoa konksheni ya kazi, viza kwenda us au kagoma kutoa udhamini wa jambo flan la msingi sana. Level ya jamii utakuta attitude za watu wa sehem flan kuwa against n kitu. Hii hutokea sana katik harakat za maendeleo kukatiza jamii za wafugaji na hunter & gatherers.

Muvi ya spell imeeleza mapamban ya vijan n kukwama kwa sabab ya mitazamo ka hii. Mzz anatka kumrithisha mwanae uganga na ulozi. Dogo anajitenga n kukimbilia mjini kutafuta maisha. Antoboa na kuwa tajir mkubwa, anamilik gamilia na kampun kubwa sana ya kutoa huduma za sheria. Siku moja anarudi kwao kusailimia anakutana na kisanga, jamaa bado wanamtaka arithi. Wanamuweka msukule wanampikia mkono wa mtoto wake wa kiume wanamlisha.

Kiufupi, kama umekimbia familia, makazi, kuhama kijiji au mtaa sabab ya kukimbia watu wenye kutahmini mitazamo kale usirudi. Hawajabadilika na kwa sabab mitazamo na tamdun hiz zinarithishwa haziwez kukoma. Watu watakufa na wataachia walio hai. Spell 2020 imeakisi hili, na imeliangalia sana kwa watu weusi mana haw ndo Voodoo practitioners pale USA.

Itafte hii muvi weekend hii

Screenshot_20240811_115001_Chrome.jpg
Screenshot_20240811_115007_Chrome.jpg
Screenshot_20240811_115119_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom