Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,874
- 7,650
Mkuu nimeisikia hiyo habari kwenye magazeti nikashtuka sana. Sina hakika zina ukweli gani ndani yake. Kama ni kweli basi kuna balaa kubwa. Nawe umeniongezea mshituko tena baada ya kuihusisha hii habari na huyu Dr. wangu wa mambo ya Masoko (Marketing) na Derm Towers!!!Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)
Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
mkuu unamaanisha Derm Towers ni zake??Duh kweli Kikwete aliigeuza nchi hii shamba la bibi. Jamaa aliingia NSSF hajiwezi hata kumalizia nyumba yake ya kuishi halafu anatoka anamiliki timu ya Newcastle United na Mike Ashley!!!!! (Kama ni kweli)
Basi nchi imetafunwa kwa kiwango Kikubwa, kama tuhuma hizi ni za kweli kumpeleka mahakamani peke yake na kumfunga haitoshi, inatakiwa afilisiwe na waana wa Tanganyika warudishiwe mali zao. Zile Derm Tower hata zikiwa Hostel za wanafunzi wa IFM itasaidia kurudisha machungu. Na ile ya pale opposite na Mlimani City Derm Tower tuigeuze hostel ya Ardhi University
Hivi Dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?Utajiri wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF, Dr. Ramadhani Dau unafika zaidi ya Tsh 100Bilioni.
Ni mmoja wa wamiliki wa timu ya Newcastle ya Uingereza.
Kampuni zake pekee ndizo zinazopewa tenda ya kufanya kazi NSSF.
Source: Dira ya Mtanzania- 18 April 2016
Ni balozi hewa hana nchiHivi dr. Dau sialiteuliwa kuwa balozi vile!!, hivi yuko nchi gani vile?
Billion 100.utamiliki timu UK? Jamani tuwe wa kweli jamani!