Utafiti: Zaidi ya asilimia 87 ya wanaume huwa hawasafishi mikono wakitoka haja ndogo

True. Ni kwanini lakini nyie vidume? Mtu katoka nyaku kabisa hlf hata hastuki kama anatakiwa kunawa.
 
Ushaanza! Ina maana hadi leo ulikuwa hufahamu kwamba boxer ikiwa safi inapunguza nguvu za kiume?! Au utakuwa kasichana ka' Form II wewe usiyefahamu mambo ya kiutu uzima?! Ona sasa; umenifanya niongee mambo ya kikubwa hadharani! Kwanza boxer ikishakaa wiki 2 inatengeneza fume kabisa ya kuulia wadudu including hao bacteria na protozoa! Kwahiyo again; kunawa mikono ni kutafuta sifa!
Damn! Ona sasa mnavyozalisha bacteria wa kila aina humo ukichanganya na zile drop za mwisho za mkojo du! Msilete mikono yenu kunisalimia kabisa.
 
Na ni kwa nini tusafishe mikono ilihali tulikuwa tunashika kiungo muhimu na sio uchafu??? Ninyi 'ke' semeni wenyewe, ukikuta 'me' hana hio kitu utaendelea kumuona 'me'?
 
Mtoa mada nadhani ulipaswa kuwasaidia zaidi hawa wenzangu ni kwnn wanawe mikono baada ya haja ndogo.
Kwa ufahamu wangu zifuatazo ni sababu za kwa nini kunawa hasa kutokana na mikono kushika/kugusana maeneo haya ambayo kimsingi ni machafu sababu yanashikwa na watu wengi:-
*kitasa cha mlango
*handle/kitufe cha kuflashia
umenishawishi niwe nanawa nikitoka kukojoa.
 
Damn! Ona sasa mnavyozalisha bacteria wa kila aina humo ukichanganya na zile drop za mwisho za mkojo du! Msilete mikono yenu kunisalimia kabisa.
Ni beneficial bacteria ambao wanahusika na spermatofication of blessed living fluid! Tukikutana, mkono wangu unao... tena kiganja hadi shavuni!
 
Wakati mwingi mkono huwa na uchafu zaidi kuliko mboo wafaa kunawa mikono kabla hujauguza
 
Ndio maana mi sipendi kusalimiana nao kwa kushikana mikono. Ewwww. Jitahidini basi munawege mikono.
Nyie wenyewe mnashushaga ile naniliu ya ndani kwa ndani, then mnapandisha skirt mkimaliza hapo mambo juu kwa juu...
Tena ukute uko safarini ndio hatari tupu hata kuchuchumaa ni msamiati mfumu..
Semeni tu ukweli..
 
Mimi ni mmoja wapo, mara nyingi nikojoapo sinawi kwasasababu nakuwa nimeushika uume sehemu kavu nyuma kidogo ya 'Kichwa' hivyo sioni kama nimechafuka. labda nisaidiwe ili niweze kujua kama huwa nachafuka bila mimi kujijua.
kumbe ina viungo? kichwa na nini na nini?
 
Nyie wenyewe mnashushaga ile naniliu ya ndani kwa ndani, then mnapandisha skirt mkimaliza hapo mambo juu kwa juu...
Tena ukute uko safarini ndio hatari tupu hata kuchuchumaa ni msamiati mfumu..
Semeni tu ukweli..
Mbona hayo yalikuwa yanafanyika zama za mawe aisee, enzi za kuchimba dawa vichakani. Sasa siku hizi umkute mdada amevaa skinny jeans atashushaje juu kwa juu. Mkubali tu nyie na wachafu basi. Sasa nyie manaingia chooni na sink la kunawia mikono linakuwepo na maji yapo lakini manatoka tu bila kunawa. Embu badilikeni basi.
 
Mikono tuu mnamind, wakati ukimwi mnakatikia mauno, na dushe mnanyonya kabisa, tena mara nyingi tunawashikisha sana mapumbu sasa pata picha na hicho kijoto kcha uvungu wa pumbu sasa
 
te
I keep my winus extremely clean hakuna haja ya kunawa.

Ila mimi nina tatizo na wale watu wanatumbukiza vidole puani bila handkerchief. Tena hii hata warembo wamo, tunavumiliana tu
tehe... na wale wanaotoa uchafu machoni kwa kidole na kutoa mabaki ya chakula kwenye meno kwa vidole, lakini hii mada haihusu hivi.
 
Back
Top Bottom