DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,131
- 24,688
Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali..
kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo..
Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa akiwa cairo wingi wa magoal (Aggregate) Utambeba na hivyo kusogea Nusu Fainali..
Asec atafungwa na ES Tunis, Hivyo ES tunis Kupata nafasi ya kuingia Nusu Fainali pamoja na Masandawana..
Huku na huku Mazembe atamchapa Petro na kuingia Nusu fainali huku watashindana mazembe na Simba nusu fainali na Simba ataibuka Mshindi na kwenda kucheza Fainali na Mamelodi..
Japo atakuwa mshindi wa pili mamelod masandawana akichukua CAFCL.