Utabiri: Nape kuwa Katibu Mkuu wa CCM, aandaliwa kumrithi Kinana

Hayawi hayawi yamekuwa naweletea utabiri wa kweli kabisa kuwa Mh Nape Nauye Jembe anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. CCM kinatambua Nape anakubalika sana ndani ya CCM, Chadema na hata kwa wasiokuwa na vyama hivyo CCM katika kujiimarisha kushika dola kwa miaka mingine 50 inamwandaa Nape kuwa Katibu Mkuu wake.

Huu uliopita ulikuwa upepo tu wa kisiasa wakuangalia ukomavu wa Nape katika siasa na jinsi anavyokubalika kwa CCM na hata kwa wasiokuwa wana CCM na ukweli umeonekana kuwa Nape Anatosha kuvaa viatu vya Kinana na kuingoza CCM katika Viwango vingine chini ya Mwenyekiti wake Mkakamavu Ndugu Mh Dr John P. Magufuli Rais wa Tanzania.

Kila la kheri Nape
Chadema na hili watabisha, Wanamtaka Nape kwa nguvu. Hawampati ng'o.
 
Hayawi hayawi yamekuwa naweletea utabiri wa kweli kabisa kuwa Mh Nape Nauye Jembe anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. CCM kinatambua Nape anakubalika sana ndani ya CCM, Chadema na hata kwa wasiokuwa na vyama hivyo CCM katika kujiimarisha kushika dola kwa miaka mingine 50 inamwandaa Nape kuwa Katibu Mkuu wake.

Huu uliopita ulikuwa upepo tu wa kisiasa wakuangalia ukomavu wa Nape katika siasa na jinsi anavyokubalika kwa CCM na hata kwa wasiokuwa wana CCM na ukweli umeonekana kuwa Nape Anatosha kuvaa viatu vya Kinana na kuingoza CCM katika Viwango vingine chini ya Mwenyekiti wake Mkakamavu Ndugu Mh Dr John P. Magufuli Rais wa Tanzania.

Kila la kheri Nape

huyu anayeogopa ndoto za NAPE amuachie ukatibu mkuu?
 
Tetesi zilizo mezani kwa wakuu,
Ni kwamba mheshimiwa Nape Nnauye ndiyo atakuwa katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi baada za kinana kusataafu,

Nape anapendekezwa kutokana na kazi yake ya muda mrefu ndani ya chama,

Kuhusu kuhojiwa kwa kinana ni kwamba ye kama katibu mkuu alilazimika kutoa majibu ya utendaji wa chama kupelekea watu kujitwalia mali, si kwamba anahusika kama inavyopotoshwa

Leo hii anamaliza muda wake aliopewa na Rais wa SJT mheshimiwa Ndugu, Dk John Pombe Magufuli
 
Wanataka wamnyamazishe
 
Haitatokea.

Jiwe kwasasa anataka viongozi wote wa chama wawe mfukoni mwake.

Kama alimtema akiwa Waziri basi usitegemee amrudishe tena "mfukoni"

Nadhani kwasasa Nape ahaminiki tena kwa Jiwe.
 
Hayawi hayawi yamekuwa naweletea utabiri wa kweli kabisa kuwa Mh Nape Nauye Jembe anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. CCM kinatambua Nape anakubalika sana ndani ya CCM, Chadema na hata kwa wasiokuwa na vyama hivyo CCM katika kujiimarisha kushika dola kwa miaka mingine 50 inamwandaa Nape kuwa Katibu Mkuu wake.

Huu uliopita ulikuwa upepo tu wa kisiasa wakuangalia ukomavu wa Nape katika siasa na jinsi anavyokubalika kwa CCM na hata kwa wasiokuwa wana CCM na ukweli umeonekana kuwa Nape Anatosha kuvaa viatu vya Kinana na kuingoza CCM katika Viwango vingine chini ya Mwenyekiti wake Mkakamavu Ndugu Mh Dr John P. Magufuli Rais wa Tanzania.

Kila la kheri Nape
ccm kuendelea kuwapo madarakani haitegemei nape wala takataka yoyote ndani ya ccm, ni polisi na tume ya uchaguzi. na Tiss
 
Back
Top Bottom