F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,299
- 1,037
huyu mzee naye aache kuropka ropoka apige neno kwa wanakondoo wake.aachane na siasa itamkost kwa ushauri wangu naona hilo kwani akikaa kimya kuna shida gani sasa yeye kila tukio anataka ajibu is not okey kwa mtazamo wangu.