Ustaarabu wa SGR uhamishiwe kwenye Huduma zote za mabasi ya umma

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
TRC wameanza vyema na wasikatishwe tamaa kuhusu taratibu zao.

Hii standard waliyo-set waendelee kuiboresha zaidi iwe ya hali ya juu zaidi.

Bei za Vyakula na vinywaji warudishe kwenye bei halisia za mtaani kwani itapelekea wateja wanunue zaidi kuliko kutaka kubeba.

Otherwise...Mwendokasi, Mabasi ya mkoa waende kujifunza haraka SGR.

Pia soma:Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi
 
Sidhani kama wayward ku keep standard.. Ona mwendokasi ilivyo sasa hivi ni hovyo kuliko daladala
 
Mwendokasi inashindwa hata na waendesha huduma wa pantoni pale feri.

We still have a long journey to reach where we are going.
 
TRC wameanza vyema na wasikatishwe tamaa kuhusu taratibu zao.

Hii standard waliyo-set waendelee kuiboresha zaidi iwe ya hali ya juu zaidi.

Bei za Vyakula na vinywaji warudishe kwenye bei halisia za mtaani kwani itapelekea wateja wanunue zaidi kuliko kutaka kubeba.

Otherwise...Mwendokasi, Mabasi ya mkoa waende kujifunza haraka SGR.

Pia soma:Ujio wa SGR tishio kwa mabasi? Inabeba abiria 4000 sawa na trip 70 za mabasi
Wewe inaonesha haujawahi kusafiri kwenye mabasi ya mikoani, ama unataka wakajifunze kutotoa maji, soda, biskuti na pipi bure kwa wasafiri wao! Wenye mabasi wamekua wakitoa bure vitu hivyo badala ya kuwaachia wahudumu wawauzie abiria kama wafanyavyo ndani ya sgr.
 
yeah Mtei route ya moshi kahama anagawa hadi kahawa hii niliipenda sana ile asuhi asubuhi
 
Back
Top Bottom