Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

tunatarajia mabadiliko makubwa katika bajeti hii. ngoja tusubiri. tunaomba walio na softy copy ya hotuba humu....
 
Mimi naangalia K24 channel TV ya Kenya.....naangalia "Bunge Live" la Kenya na uwasilishaji wa bajeti yao for 2016/2017 financial year!

Halafu jamaa wa Kenya uwasilishaji wa bajeti unafanyika kwa Lugha ya kimombo - ki inglishi!!

Wabunge wako so keen, kimya na wanasikiliza kwa makini. Hakuna cha makofi wala vigere gere kama vya wabunge wa CCM ktk bunge letu utadhani wako kitchen party!!

Wabunge wa CCM wapuuzi kweli kweli yaani wanapiga makelele hovyo mwisho wa siku wanatoka kapa na ktk uchangiaji wao wanakuja kuwa wanachangia pumba na upupu tu!!
 
Uendelezaji wa viwanda Na kuongeza tija kwenye kilimo.........malengo ya bajeti.!
 
Back
Top Bottom