Usishangilie Vita si kitu kizuri

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,347
2,049
Nchi washirika wa Israel zilipigwa kumbo uchumi wake na Covid 19, zikijiandaa kukaa sawa, zikaingia Ukrain kupambana na Urusi. Kwa sasa zimechoka na vita na zilimshauri dogo atulie kwa muda,asiende nje ya Gaza, dogo nunda. Matokeo ndo haya.Macron kashamchana live,hawana msaada zaidi, dogo kwa hasira kapiga total energy ya wafaransa huko middle East. Yote kwa yote , vita siyo kitu kizuri,usishangilie.
 
Watu wanaona vita kama mchezo wa kubeti, halafu hawa wabaongo wanaoshangilia vita na kuchagua upande wakisikia tu mlio wa pancha wanatoka nduki. Vita sio vya ku viombea, visikie tu kwa jirani.
Me nawashanga kwel yaan walivyo waoga hawakupaswa kuchagua upande kwenye ivo vita.
 
Nchi washirika wa Israel zilipigwa kumbo uchumi wake na Covid 19, zikijiandaa kukaa sawa, zikaingia Ukrain kupambana na Urusi. Kwa sasa zimechoka na vita na zilimshauri dogo atulie kwa muda,asiende nje ya Gaza, dogo nunda. Matokeo ndo haya.Macron kashamchana live,hawana msaada zaidi, dogo kwa hasira kapiga total energy ya wafaransa huko middle East. Yote kwa yote , vita siyo kitu kizuri,usishangilie.
Kama anadundwa mtu mjinga mimi nafurahia.Usinipangie.🤣🤣🤣
 
Aziz_Nasirzadeh_in_2024_(1)_(cropped_out_MEHR_news_agency_watermark).jpg
 
Watu wanaona vita kama mchezo wa kubeti, halafu hawa wabaongo wanaoshangilia vita na kuchagua upande wakisikia tu mlio wa pancha wanatoka nduki. Vita sio vya ku viombea, visikie tu kwa jirani.
Vita haijalishi upande gani utashinda watu wanakufa wasio na hatia
ni bora hao wajinga watafute battleground wajeda kwa wajeda wamalizane wao kwa wao.
 
Yaani hata Umoja wa Mataifa umeshakaa nao sana kuwashauri waache wameshindwa sembuse weye ndugu yangu...Kaa tu uone mambo yanavyoendelea
 
Back
Top Bottom