Usilolijua kuhusu Facebook

Makala yako ina uhalisia kabisa...,,,
Ila uzuri wa fb mtu yeyote anaitumia hasa kwa wale ambao hawana na wenye smartfone.
 
umesahau hii ndo mtandao pekee ambao unaongoza kwa mimba za utotoni & mizinga na kila mtu yupo adi ashura ndala ndefu
 
Mtoa mada bado elimu yako ni kidogo sana au inawezekana umesoma ila hujaelemika.
Sio kweli kuwa kila kitu cha kimaendeleo kitakachokuja kitakuja na mazuri tuu. Unatakiwa ujue vipi vizuri as kwa upande wako na inategemea mtu na mtu anaamini vipi kuhusu uzuri wa kitu. Unataka watu waweke picha wakiwa wamevaa mavitenge tuu na mandhari yao ikiwa ni kwa mnyamani au manzese au mbagala? Ili nini kwa mfano? Binadamu wanapenda vitu vizuri tuu nikwambie usipate presha ukiona watu wako sehem nzuri au wana drive, hata kama mtu amepiga picha akiwa ana drive na hata kama gari sio lake sio tabu kwani mtu kuonyesha ana drive ni kitu kizuri, nani asiyependa kudrive? Unataka waweke wakitembea na watu hawapendi kutembea? Zamani wakati sijanunua gari nilikua napiga picha na magari ya wenzangu nadhani iliniongezea ari ya kutaka kununua langu siku moja.
Umetoka mapovu sana ila hapo mwisho nimekuelewa aya hongera kwa kumiliki gari
 
Kuna mmoja kabashite laki kaandika kasoma chuo udsm hata ukimuambiaa i know you anakuuliza unamaanisha nn
 
Kwahiyo mkuu huko facebook kila mtu amesoma UDSM??

Kweli huo sio mtandao.. Vipi kuna watu wazima huko?.namaanisha watu kuanzia miaka 35 na kuendelea..
 
Sehemu ambapo kuna account nyingi za watu waliokwisha poteza maisha ( waliokufa)
 
upo sahihi nilishajitoaga mda sana ata application nilishatoa in my phone kila mtu UDSM jaman dah
Mkuu, hebu nielekeze namna ya kujitoa. Nimekua member since 2008 na nimeacha kutumia FB nadhani mara ya mwisho mwaka jana Augost, simu zangu zote nimetoa hiyo icon ya FB but still sijui namna ya kujitoa kabisa kabisa. Nielekeze mkuu, please nipo serious.
 
Back
Top Bottom