LimaAlfa
Member
- Dec 22, 2015
- 37
- 19
Hili tatizo linachochewa na kuvunjika maadili hasa baada ya kuukandamiza na hata kuua utaratibu wa asili wa mfumo dume! Baada ya Beijing mwanamke amedai na kupata haki zake, anajitegemea. Tumeshuhudia malezi ya mzazi mmoja kwa watoto wengi. Huyu mtoto anakosa baba wa kumuongoza na kumkemea badala yake mama anamlea ( Baba kemea, Mama lea). Tangu kukicha mtoto wa kiume anachoona ni ladies stuff; kujipodoa, kusuka, kuimba, kucheka, kuvaa , maongezi ya kike nk. Huyu kijana hana cha kum- emulate na polepole anaji identify na dada zake. Ushoga hapo ni rahisi kujichomeka! Cha ajabu zaidi wanawake wamekuwa wakimya kulinganisha wanaume kwenye kukemea ushoga! Turudi kwenye utaratibu wa Mungu.