Ushauri wangu baada ya kusoma hotuba ya James Mbatia

tatizo si tairi wala barabara.....
watu wanabebesha mizigo mizito kupita kiwango cha barabara kuweza kuhimili...
Mbona Zambia barabara zao hazioti matuta kama zetu na gari hizo hizo zinapita huko.
 
Wataalam wa malori mbona mnatuchanganya cjui super single cjui double cngo tupien bas hata kapicha

upload_2016-5-19_10-29-13.jpeg
Super single
upload_2016-5-19_10-30-19.jpeg
Double Tyres
 

Attachments

  • upload_2016-5-19_10-28-35.jpeg
    upload_2016-5-19_10-28-35.jpeg
    2.9 KB · Views: 31
Back
Top Bottom