Ushauri wa haraka: Mume wangu ana michepuko na hana hamu na mimi akirudi kutoka safarini

Ndoa zote zina mitihani yake! Suluhu sio kuikimbia! Ongeza utundu na ubunifu kwenye ndoa yako! Njia sahihi ni kupambana kulitetea jimbo...ukisusa.......!!
Ndoa ni fumbo la kawaida kabisa ndio maana inaitwa pingu za maisha, katika nchi zilizostaarabika, ndoa sio pingu tena kama ilivyo kwenye nchi za dunia ya TATU.
 
Sijui kwanini madereva wengi wa malori ni vicheche

njiani wanaonaga sketi za aina tofautitofauti na ukweli ni kwamba kila uchi una ladha yake tena tamu,,,,,,,,,,,,so hua wanajikuta wanataka kuonja kila utamu
 
njiani wanaonaga sketi za aina tofautitofauti na ukweli ni kwamba kila uchi una ladha yake tena tamu,,,,,,,,,,,,so hua wanajikuta wanataka kuonja kila utamu
Eishhh....

Baba saidia wanaume hawa. Hasa wenye ndoa
 
Back
Top Bottom