Ushauri wa biashara ya kutoa na kuweka pesa maeneo ya chuo

Mimah127

Member
Dec 4, 2023
33
37
Habari Wana JF, I hope mko powa .

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Dar es salaam, level yang ni certificate

Kwa kipindi kichache ambacho nimesoma nikafikiria nisikae bure kwani kuna maisha baada ya chuo, nimefikiria nianzishe biashara ya wakala wa kutoa na kuweka pesa kama sehemu ya kujiingizia kipato, yaani niwe nafanya biashara hii zaidi kwa wanafunzi wenzangu huku chuo.

Nilikuwa naomba mnishauri na mnisaidie mawazo yenu kama hii biashara inafaa kwa chuo au haifai kulingana na mazingira.

Naombeni ushauri wenu Wana JF.
 
Usalama wa fedha zako, sijui itakuwaje maana wenzako wataelewa kuwa unatembea na pesa tena pesa ndefu. So ni rahisi begi lako kupekuliwa au kutegewa mtego.
 
Back
Top Bottom