Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Nilisikia hiyo 4% naumia mno. Hivi hawa waliopitisha mikataba hii wapo n walikuwa wanafikiria nini?
Serikali wakaipa 4% wao wakachua 10%
Nilisikia hiyo 4% naumia mno. Hivi hawa waliopitisha mikataba hii wapo n walikuwa wanafikiria nini?
Leta solutions zisizo za Kijinga basi tuzioneKuna watu mnaandika ujinga ujinga tu utafikiri tunaishi karne ya 4! Hii ni karne ya 21. You snooze you lose. Nyie mnasaini Mikataba ya kijinga jinga kisha mnakuja tena na solutions za kipuuzi puuzi, mnafikiri nyie akina nani??
Sidhani kama mfano wa pembe unaingia hapa.Ingekua hivyo wanao kamatwa na pembe, serikali ingekua inaenda kuuza ipate Fedha..
Ni wakali hao ukiwagusa,Nilisikia hiyo 4% naumia mno. Hivi hawa waliopitisha mikataba hii wapo n walikuwa wanafikiria nini?
Kwa mujibu wa Mkataba mbovu wa CCM uliosainiwa na Mwenyekiti wake Benjamin Mkapa Mchanga ni mali ya ACACIA na serikali ina 4% tu ya mapato yatakatotokana na faida ya mchanga huo. Hatua yoyote itakayochukuliwa na Serikali kinyume na taratibu ni kuvunja mkataba.Yatokanayo na kuvunja mkataba huo ni sawa na kuifilisi serikali kwa faini natozo itakayokabiliwa Tanganyika.
wapo na wamejaa tele wanakula bata ndani ya viyoyozi.mkubwa wao ni yule aliyewaita wapinzani "wapumbavu na malofa".Nilisikia hiyo 4% naumia mno. Hivi hawa waliopitisha mikataba hii wapo n walikuwa wanafikiria nini?
Walitumia Makalio (Masaburi,) ( Nimenukuu maneno ya MAREHEMU Didas Masaburi RIP)
Sijakurupuka ila ukweli ndio huo. JPM anapaswa kuiagiza TRA itumie sheria ya kodi na kuwanyanganya Accacia Leseni ya kuchimba Madini for "under declaration " pia kutaifisha Samahani "to forfeit" hizo containers 277 hata waliosafirisha wataambullia Hewa kwani hiyo kampuni inayosafirisha ni ya kiongozi wa zamani wa Ccm ! Anayechimba hayo Madini ni kampuni za Rostam Aziz na fedha alipewa na Mkapa kwa Mkopo ulodhaminiwa na Serikali ya Tanzania na nahisi fedha haikulipwa huenda ni sehemu ya Deni la Taifa.Kutoka hapo kanyaga twende tutajua jinzi ya kuagana na GGM - Ashanti Gold kule Geita. Tubadadili sheria kwenye Bunge la sasa hivi la Bajeti Mrahaba uwe 50% kama wakisusa "they can pack and go." Tutaminywa na wenye Migodi lakini kiuhalisia hayo Madini ni ya kwetu ni bora tulime kwa meno kuliko kupewa ka mrahaba ka 4%. Watu wote waliowahi kufumba macho tuwanyanganye vyote walivyo navyo pamoja na familia zao tuwaweke kizuizini kama Marehemu Jumbe ! JPM just issue a Presidential Decree tumalizane nao hata ikibidi we can suspend the constitution for one week ? Dunia itatuelewa na ndio fundisho kwa watakaothubutu kula rushwa tena wakiwa Ikulu? Hizo tume ni kutupotezeana muda tu as long John Pombe Magufuli has the political will sisi Wazalendo tuko tayari kufa pamoja na JPM kwani ameonyesha uthubutu tumsamehe ya zamani ila ameahidi kutokutuangusha. Ndio maana hataki kwenda huko kwa Wakubwa kwani hawatakawia kumfanyia walichomfanyia Marehemu Hugo Chavez ! JPM japokuwa umesema hutaki ushauri wa mtu ila for sure usithubutu kwenda huko Ulaya au hata Marekani hata China watakula na wewe sahani moja.? Hakuna cha kupoteza zaidi ya woga ila nasema enough is enough hayo ndiyo mabadilko tuliyohitaji na sio kuzungusha mikono. Tusijali rangi ya Paka as long as anakamata hawa panya tena na kuwala!
Pia inatosha kujua ukweli nani msema kweli kati ya Prof Mruma v/s ACACIA.Wazo zuri...ACACIA tuwape hizo milion 300 kwa kila kontena halafu watulipe huo mrahaba wa 4%.... serikali ichukue huo mchanga ikauuze kwa hesabu za Prof. Mruma na tukiongezea na huo mrahaba tutakao pewa kama mikataba inavyotaka tutapata hela ndefu sana...hiyo inatosha kabisa kukamilisha miradi yote ya maji jimboni kwa Kitwanga na kununua dawa katika hospitali zetu.
Tusitengeneze mazingira ya vikwazo , si wanasema kuna mihela mle , nunueni tu .Ni sahihi kabisa, Lakini Acacia watakubali kuiuzia serikali????