Daah, kwa mtazamo wangu 95% ya matatizo tunajitakia wenyewe, akisema ukweli kwa ndugu yake patachimbika, na asijidanganye kwamba anaweza muoa huyo binti maana nafsi itakua inamsuta kila siku!!!sasa atafanyaje kashamtia mimba
principle dhambi huzaa dhambi.. jamaa ukimsoma kwa umakini ni kwamaba anatafuta go ahead ya kutaka hiyo mimba itolewe.. na hayo yote ni kwa sababu ya kutaka kukwepa lawama jambo ambalo lawama mapaka hapo walipofikia hawakwepi.. the only way ya kukwepa lawama ni kutoa mimba....Jamani miss chagga,nilivyokuwa ninakuheshimu!!!,yaani siamini macho yangu km kweli wewe mwanamke unayejua uchungu na kiumbe unayesifika kwa kuwa na Huruma unaweza kumshauri huyu jmaa kutoa mimba,jamani tuwe na huruma;Hivi wazazi wetu wangetutoa mimba leo hii tungekuwa tunachat hapa JF??,Chonde jamani mawazo ya hivyo yasipate nafasi ktk akili zetu.
na akioa ajue kaoa cha wote.. binti hajielewi .. jamaa ni mnafki anakula mzigo wa binamu yake huku akiwa anajifanya ndugu inakera sanaDaah, kwa mtazamo wangu 95% ya matatizo tunajitakia wenyewe, akisema ukweli kwa ndugu yake patachimbika, na asijidanganye kwamba anaweza muoa huyo binti maana nafsi itakua inamsuta kila siku!!!
Nimekuja kukagua kuona kama jukwaa kama limeshafungwa, nimeshangaa sana kuona jukwaa bado lipo wazi!.... JF ni jipu kabisa!!Hahahhahahahhaah unachekesha.
Uzuri wewe sio moderator.
Unafanya nini hapa kama hulipendi hili
Jukwaa wakati huu ??
Wapendwa!
Mchumba wa binamu yangu alihamishiwa Dar kikazi kutoka mkoa fulani hapa Tz. Kwa kuwa nina nafasi ya kutosha nyumbani kwangu aliponiomba kuja kuishi hapa kwa miezi kadhaa wakati anajipanga sikuwa na hiyana.
Amefika kwangu mwezi wa 11 ilipofika January tukaanza kufanya ngono, sasa wiki iliyopita amenionyesha cheti cha hospitali kuwa ni mjamzito.
Tatizo sasa binamu na familia ikijua nitakuwa nimeumbuka vibaya.
Sina la kufanya, kutoa mimba kwa imani yangu ni sawa na kuua na sitaki kufanya hilo.
Nimekwama ndugu yenu. Mawazo kibao.
Swali zuri kabisa.Ila umezini kwa imani ipi?ovyoo
Sawa!!,lkn anapaswa kuelekezwa namna ya kuitunza mimba tu na kukubali kuibeba hiyo aibu,kawaida ya Dhambi yoyote lazima mwisho wake uibebe aibu,sasa akitoa atakuwa ametenda dhambi nyingine ya mauti ya mauaji,wakati akitunza mimba hadi kuzaa atakuwa na dhambi moja tu,pia ieleweke kuwa Utoaji mimba ni hatari anaweza asiishie kumuua mtoto tu,bali hata mjamzito mwenyewe(mchumba wa binamu yake) kupoteza maisha;Ndugu zangu tusitoe tu ushauri kwa mihemko bali kabla ya kumshauri mtu tupime kwenye mzani Madhara yatakayokuja kujitokeza baadaye,Kuzaa hakuna madhara makubwa km kutoa mimba japo yaweza kutokea km bahati mbaya vifo vikawepo lkn yote kwa yote UTOAJI MIMBA NI HATARI NA NI HARAMU.principle dhambi huzaa dhambi.. jamaa ukimsoma kwa umakini ni kwamaba anatafuta go ahead ya kutaka hiyo mimba itolewe.. na hayo yote ni kwa sababu ya kutaka kukwepa lawama jambo ambalo lawama mapaka hapo walipofikia hawakwepi.. the only way ya kukwepa lawama ni kutoa mimba....
Habari ya siku mingi rafikiHahahhahahahhaah unachekesha.
Uzuri wewe sio moderator.
Unafanya nini hapa kama hulipendi hili
Jukwaa wakati huu ??
miss chagga mambo vipi mpendwaha ha dhambi ya uzinzi hukuona.. any way amua moja kutoa hicho kiumbe au uoe kabisa
salama za kwako?miss chagga mambo vipi mpendwa