kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kwa hiyo hizo barabara nzuri zipo Tanzania tu?Rwanda,Uganda,Kenya n.k wanakosafiri usiku wao hawana magari mengi wala bars bara za lami?Mawazo mgando ni tatizo sana watanzaniaEnzi za Mwl na sasa ni tofauti kabisa huwezi kulinganisha.
Barabara za lami enzi za Mwl lilikuwa za kuhesabu kwa hiyo mwendo ulikuwa mdogo.
Usalama ulikuwa mkubwa sana silaha hazikuzagaa mtaani kama sasa.
Magari yalikuwa machache sana.
Wasafiri nao walikuwa wachache.