Ushauri kati ya Subaru 1.5L Na BMW 1 series

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
288
128
Naomba kuuliza kati ya hizo GARI mbili ipi
Ina nifaa kwa Mimi mmakonde ninaeishi mwanza kuwahi misiba Na sherehe za unyago kwa Wakati bila shida kule south kwa che mkapa/ bonde lagesi?
 
Kwa sofa zipi bro nifungukie
Binafsi naipenda Subaru inakifua kikubwa ni rahisi kuichezea... Mambo kama kuiongezea nguvu etc.
Mimi mtu wa mbio kwa hiyo Subaru comes first na gari kama Evo, Supra,Skyline & Golf Mk series (4,5,6&7) .
Kingine mimi sio shabiki sana wa gari za kijerumani ukiondoa hiyo VW Golf Mk series.
Gari za kijapani zimetulia sana Mkuu.
 
Subaru ni nzuri mkuu, kwani katk nchi yetu zinaendea kungizwa zikiambatana na spear part zake mpya na hata used. Lakin magari ya kijeruman ni magum yapo machache lakini nayo tatizo ni spear part zake ni ghali mara mbili ya subaru, hatari kuzipata hizo spear.
 
OK kwaiyo chubaru ndio chaguo chahihi kwangu thanks
 
OK kwaiyo chubaru ndio chaguo chahihi kwangu thanks
 
OK kwaiyo chubaru ndio chaguo chahihi kwangu thanks
 
Hapo ni Option kubwa sana ndio maana watu hawakupi ushauri vizuri ila wanakupa opinions tu.

Kikubwa cha kwanza tukuulize, unataka gari hasa hasa la nini? Usiseme la kwendea tu huko wapi sijui. Kumbuka kwa mwaka unaweza kua unaenda mara 2 au mara 1, ila muda mwingi utakua unaifanyia misele mingine tu hapo Mwanza. Kwahiyo tunapenda tujue gari ilo utakua unalitumia sana sana kwa nini?

Hafu pili, unataka model gani? Maana umesema tu Subaru yenye engine ya cc1500 na ukasema tu Bima 1 Series.

Mimi nitaongelea kidogo hapa ilo swala la pili.

Kwa kukuona, nadhani taste yako ni Hatchback, coz 1 series ni Hatchback so nadhani ata Subaru utaitaka Hatchback, ambayo nadhani ni Impreza.

ZOte sio mbaya ila zina radha tofauti sana. Mimi nashauri ungeenda kwa Wajerumani, BMW 1 Series, E87 (2004 -2011), hutakaa ukajuta.

BMW cars ni spacious, reliable, comfortable, speed ndio SI unit yake (240kph), barabarani stable, na mbaya zaidi, it is Ultimate Driving Machine. Usiogope kuhusu spare, utazipata nyingi tu Mjini hapa (Noble Motors).

 
Ukosahihi kiongozi umepita mulemule
Hizi aina kwakweli nazikubali

Na nitakua naenda mala moja kwa Mwaka ila misele ndio mingi
 
Ukosahihi kiongozi umepita mulemule
Hizi aina kwakweli nazikubali

Na nitakua naenda mala moja kwa Mwaka ila misele ndio mingi

Kaka basi kama una mfuko mzuri chukua BMW. Kuifananisha na hiyo Subby ni dharau. Misele ya mjini Subaru sio mahala pake na ndani zipo kiume sana, sio comfortable.

BMW ni full option na hutajutia. Ila kidogo naona bei sio rafiki.
 
Soma kuhusu ile ajali ya morogoro halafu urudi kuzungumzia MBIO za magari,acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…