Acha afanye anavyotaka maadam umeshamuonyaMpaka nakuja kuomba ushauri hapa jua nimeshafanya yote hayo....! Na hayajazaa matunda
Hahahaha hapana, atakosea zaidi. Aitwe mwanaume awekwe kati aelezwe vizuri, wataelewa tuFukuza nyumbani huyo akafunzwe na ulimwengu...
Wewe unamdekeza. Unalea kizungu.Wakuu habari za wakati.....!
Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi
Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu kafaulu vizuri kwa div 1 kali tu...! Lakini cha ajabu amegoma kata kata kwenda shule akidai anataka kuolewa, na amemleta huyo mchumba hadi nyumbani ili taratibu zingine zifuate.
Sasa wakuu nimeshauri na kumsihi sana aachane na mawazo hayo azingatie masomo lakini imeshindikana....!
Na hasa ukizingatia ni mtoto wa kike, nimeona haina haja ya kumlazimisha sana kitu ambacho hataki..! Maana hata nikimzuia ipo Siku ataolewa tu....! Ngoja nimuache aende kupambana kwa alichokiamua...!
Ila wasi wasi wangu kama nikiamua kukubali kumuoza vipi siwezi kuchukuliwa hatua kwa kuruhusu aolewe akiwa amefaulu? Na ndo kwanza ana miaka 18, namuona bado mdogo kuingia kwenye ndoa...! Nashangaa ujasiri wa kulazimisha kuolewa kautoa wapiii....!
Sheria inasemaje kuhusu msichana aliyemaliza kidato cha nne akaamua kwa hiari asiendelee na shule, na kuamua kuolewa? Ushauri wenu muhimu sana wakuuu
Hahahaha hapana, atakosea zaidi. Aitwe mwanaume awekwe kati aelezwe vizuri, wataelewa tu
Mungu atusaidie aiseeeeeJamaa hapo juu kuna mahali anasema katumia kila mbinu lakini imeshindikana...
Sasa jinsi anavyoendelea kuchelea mwana kulia, siku si nyingi atalia yeye...
Watoto kama hao unatimua kwa kauli mbiu moja, "Ondoka nyumbani kwangu nenda kamtafute baba yako utayemsikiliza"
Shule kinguvu mtoto aliyemaliza kidato cha nne??? Mkuu sio darasa la saba kusema hajitambuiWw unamdekeza. Unalea kizungu.
Chapa sana.. peleka shule kinguvu
Hilo haliwezi tokea ndoa ikimshinda atapambana na haliAkiolewa ndoa ikimshinda atarudi kwako na kuwa mzigo kwako so chafuanya ni kumkazania aendelee na shule, full stop
Wakati mwingine demokrasia ikishindwa kufanya kazi basi udikteta lazima utumikeWw unamdekeza. Unalea kizungu.
Chapa sana.. peleka shule kinguvu
Mkuu kuna serikali wanaweza kuniletea shidaFata taratibu za kimila/kidini muozeshe then aombe nafasi chuo aendelee na masomo kama kawaa...
Utakuwa umemsaidia pakubwa..
Mwanaume ana 28, na anajihusisha na biashara. Kuhusu kumtunza sina shaka naye hilo ataliweza vyema..! Ila wasi wasi ni serikali hawawezi kuleta shida kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa?Huyo mwanaume ana umri gani na anafanya mishe gani?!
Binafsi sina jibu la hilo swali, ila humu tuna wataalamu wa kila fani.....hata mimi nasubiri jibu la hilo swali.Mwanaume ana 28, na anajihusisha na biashara. Kuhusu kumtunza sina shaka naye hilo ataliweza vyema..! Ila wasi wasi ni serikali hawawezi kuleta shida kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa?
Ahsante kwa ushauri wakouna wakati mgumu kama mzazi pole sana kwa mtihani. kuhusu serikali sidhani kama wanasumbuka na mtu aliyemaliza kidato cha nne akaamua kufuata mlengo mwingine wa maisha. miaka 18 kisheria ni mtu mzima. mshauri yeye pamoja na kijana kwamba aendelee kusoma hata ikibidi kuanza chuo certificate itamsaidia huko mbeleni.
Itasaidia sanaHapa nawaza labda kumshtaki na kumchukulia hatua yule kijana anayemdanganya, pengine inaweza kuleta unafuu
Akishaingia chuo uyo tena sio mtoto...au unampango wa kumfungisha ndoa za kiserikali?Mkuu kuna serikali wanaweza kuniletea shida
Pole sana hapo plan b nikuongea na mkweo.kuwa airishe ndoa kwanza na amuache mwanao asome.tumia hata mkwara kwake utafanikiwa.Wakuu habari za wakati.....!
Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi