Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Asante sana, itabidi nikitwange kwanza eti.Pakaa kitunguu swaumu, litawiva, then litumbue.
Asante sana kaka ushauri wako nimeukubaliAcha uwoga nenda hospitali wewe. Sasa si bora waumwa kwa mbele. Ungeumwa kwa makalio ingekuwaje upate picha dokta mwanaume mwenzio wabong'oa akukague ni hatari. Maana dunia yenyewe ishalala Yombo.
Ni kweli sina mkeInaonyesha mkuu huna mke?, kama ndo hivyo basi nenda tu hospital.
Yeah. Ni lazima kitwangwe.Asante sana, itabidi nikitwange kwanza eti.
Ungekuwa na mke ungesubiri liive alafu ulitumbue, sababu ukitumia michepuko ni aibu bora uende hospital, kama utaweza kujitumbua mwenyewe paka grease( aina fulani ya mafuta ya kulainisha chuma, hasa kwenye magari) ili liive haraka.Ni kweli sina mke
Nawasalimu wote, shida yangu ni kuwa nimepatwa na jipu sehemu za siri likiwa na maumivu makali pembeni kidogo ya kiungo changu cha uzazi upande wa juu. Nina aibu ya kwenda hospitali, mwenye kujua tiba ya hili tatizo naomba aniambie nikanunue madawa. Nina maumivu makaki sana na homa kali.
Alitumbue mwenyewe? Mh akisikia kuna katumbua jipu lake mwenyewe haitaleta shida mbeleni kweli mkuu?Pakaa kitunguu swaumu, litawiva, then litumbue.
Mimi ni mwanaume mkuu, jipu lipo karibia na uume wangu kwa juu kidogoHaujaeleza vizuri mkuu hilo jipu lipo kwenye mashavu au kaharage? Ungeweka picha pia ungepata msaada wa haraka hapa jamvini
Mimi ni mwanaume mkuu, jipu lipo karibia na uume wangu kwa juu kidogo[/QU
Nenda hospital huo ni ugonjwawa zinaa nahisi, pole sana. Ni lazima anti-biotic ya maana!
Mkuu punguza utani kwa hili suala, kesho laweza kukupata na weweKwani mzee wa kaya kamaliza kutumbua majipu? mpelekee atalitumbua mbele ya waandishi wa habari.