Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.