Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
- Thread starter
- #41
Yes,hilo ni wazo zuri!Lakini discount always inatoa margin ya error ndogo sana,haiwezi kubadili kabisa figure kubwa za gharama kwa kiwango ambacho kitapoteza uhalisia!Hata kama ikiwa hivyo,hiyo fact inaweza kuwa eliminated kwa kuingiza hiyo discount margin katika hesabu za jumlaKaka,
Gharama za kupeleka Kontena Moja nje na kulichenjua haitakua sawa na yale makontena 271.
Always ukiwa na mzigo mkubwa unapata discount (bei ya jumla) kuliko ukiwa na mzigo mchache (Bei ya Rejareja).
Tutakuja kupata gharama kubwa kisha tuone profit ni ndogo tuishie wrong conclusion.
Mi nadhani cha msingi ni ile Kamati kurudia Uchunguzi wake lakini wakiwa bega kwa bega na ACACIA wenyewe, nilidhani hata kwenye kamati wangeweka mtu wao mmoja