Ayo ni yako na ubongo wakoBila kuwapa matibabu ya kuondoa moshi wa shisha hao wachezaji hamuendi popote. Haji Manara kawaharibu sana wachezaji na hiyo ndiyo kazi aliyotumwa kuifanya,kuwatafutia mademu na kuwavutisha shisha,kwisha habari yenu. Dube anaanguka ovyo kama ana degedege.