Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 346
- 682
Unakumbuka Ile mechi SIMBA anakufa 3-1 na RAJA Taifa, Ile anaroga kwa kupeleka basi kinyumenyume ilikuwa ni mechi ya kwanza group stage klabu bingwa licha ya kufa tati nyumbani Bado Simba alienda Robo fainali
Unakumbuka!
msimu wa 2022/23 YANGA mechi ya kwanza group stage cafcc tulifungwa 2-0 na US MONASTIR Simba akaanza kwa kufungwa 1-0 na Horoya ya Guinea lakini Simba walikaza wakafika robo na Yanga tulifika mpaka fainali,
msimu uliofuata 2023/24 mechi ya kwanza tulifungwa 3-0 na CR BOULZDAD lakini sisi ndo tukavuka kwenda robo fainali tukimaliza na Mamelody sundowns
Kwa faida ya watoto wa juzi, Yanga ndiyo timu pekee iliyowahi kupata point Moja kwa RAJA mwaka 1998 ambapo makolo walipopangwa Raja walipigwa nje ndani
NAWASILISHA

2022–23 CAF Champions League group stage - Wikipedia
en.m.wikipedia.org