Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,451
- 2,190
Tumepoteza subKiuchezaji Ajibu yupo vizuri japo alishaanza kushuka ndio mana ata omog aliliona hilo na kumuweka pembeni kwenye first eleven na mayanga nae kampiga chini ila lazima tukubali tu kua kwa kiasi flani tumepoteza
Sizitaki mbichi hizi
Ajibu mmjo ni sawa na kina john bocco 7 na kina kichuya 4 iv mchezaj mwenye pure talent simba wanamuacha bila sababu za msingi wanamubakiza mavugo kweli hii ni akili au matope?
Amewahi isaidia nini simba tangu tumeanza kulea awa watoto timu haijawahi pata mafanikio bora usajili wazee wanaojielewa kuangaika na watoto eti vipaji mwisho wa siku tunakua kama arsenalOmog afukuzwe tu, kwanza mbinu zake mbovu ndizo zilizoinyima SIMBA SC ubingwa wa msimu ulioisha kwa kuchezesha wazito wasiojua kulinda wala kutafuta magoli.. Ibrahim Migomba Ajib kuondoka nalo ni tatizo na upumbavu wa kiwango cha juu kinachosababishwa na uongozi.
Ajib ni moja ya wachezaji bora kuwahi kuitumikia SIMBA SC na msimu ujao tutamkumbuka sana.
SIMBA SC NGUVU MOJA.
umenena ukweli mtupu simba viongoz wake hawana tofaut na kingwendu na wakina bamboo hongera yanga japo ctaki kuwasikiaAjibu mmjo ni sawa na kina john bocco 7 na kina kichuya 4 iv mchezaj mwenye pure talent simba wanamuacha bila sababu za msingi wanamubakiza mavugo kweli hii ni akili au matope?
good uko njema tu pamojaOmog afukuzwe tu, kwanza mbinu zake mbovu ndizo zilizoinyima SIMBA SC ubingwa wa msimu ulioisha kwa kuchezesha wazito wasiojua kulinda wala kutafuta magoli.. Ibrahim Migomba Ajib kuondoka nalo ni tatizo na upumbavu wa kiwango cha juu kinachosababishwa na uongozi.
Ajib ni moja ya wachezaji bora kuwahi kuitumikia SIMBA SC na msimu ujao tutamkumbuka sana.
SIMBA SC NGUVU MOJA.
Kwa miaka Mi4 simba haijawahi kumaliza hata namba 2 chini ya Omog timu imepata nafasi ya kupanda ndegeKyawanjubu majibu tutayapata msimu ujao,. Omog na genge lake ndio tatizo pale SSC..
Umeulizwa swali jibu kwanza Ndio uulize hayo makinikia kichwani utatoa liniKwani modric ana magoli mangapi Real Madrid?
Omog ni kocha mzuri sana apewe mudaKyawanjubu majibu tutayapata msimu ujao,. Omog na genge lake ndio tatizo pale SSC..
Hilo ni jibu na si swali kwa anayetumia kichwa kufikiri.Umeulizwa swali jibu kwanza Ndio uulize hayo makinikia kichwani utatoa lini