Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,395
- 5,374
Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO.
Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami.
Je kama mmeona kuna hiyo changamoto kwanini mnakata tiketi na wakati mnafahamu fika kwa huo muda gari zenu hazisimami kuchukua watu? Badala yake abiria wanaishia kuchelewa wanakokwenda na wengine kuishia kuingia gharama za kutafuta usafiri mwingine na huku tiyari wameshakata tiketi zenu?
Tafadhali tatueni hili tatizo na ni vyema kama mmeshindwa basi kituo hiki kifungieni maana mnakatisha tiketi wakati huduma kwa huo muda haipo, hiyo haina tofauti na Wizi kuaminiwa, maana mnakata tiketi huku mkijua fika usafiri hakuna.
Cc: DART Mwendokasi