The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,906
- 2,885
Halafu huu ni udhalilishaji jamani kwenye hii tasnia ya ualimuKwanza walim gani wameshapewa vitambulisho???
Halafu huu ni udhalilishaji jamani kwenye hii tasnia ya ualimu
kama ilivyotarajiwa na wengi hali ilikua si hali hapo jana wakati waalimu wakianza wiki yao ya kusafiri bure kwenye daladala ktk mkoa wa dar ambapo wengi wao walijikuta wakitukanwa na wengine kulazimika kushushwa kwenye daladala huku wakitupiwa maneno ya kashfa kama vile " mnadhani tunaweka mate kwenye gari!?".
Wengi hawatak kuamini kama udhalilishaj,mambo kibao ya kisheria hayaend ndo liwe hili lisilo na miongozo???Halafu huu ni udhalilishaji jamani kwenye hii tasnia ya ualimu
Hiki ndio kilipaswa kufanyika lakini kiuhalisia walimu wa dar na vijijini ni wapi wanaopata adha ya usafiri?Waalimu walipwe posho ya usafiri ili walipe nauli.
Makonda asitafute kick kupitia biashara za watu, aishauri serikali kuwawezesha waalimu na si kuwadhalilisha kwenye vituo vya mabasi
Hii lin ni figisu ya kipuuzi mno ya kisiasa ndio maana hawawezi kupewa allowance kwakuwa wakipewa wa dar wa mikoani nao watatakakwa hiyo staili hili swala litakuwa gumu sana, wataishia kudhalilishwa tu,Ingekuwa vizuri wakapewa transport allowance na mwajiri wao then wenyewe watajipanga
Weka haraka namba za magari yaliyowatendea hivyo walimu hapa na yanaenda njia ipi .Ili washughulikiwe haraka iwezekanavyo tafadhali.
kwa hiyo staili hili swala litakuwa gumu sana, wataishia kudhalilishwa tu,Ingekuwa vizuri wakapewa transport allowance na mwajiri wao then wenyewe watajipanga
Na Dar siyo wote ni Wilaya ya Kinondoni,sasa shule ipo Wilaya ya Temeke unakaa Kinondoni inakuwaje???Kazi hii wangu wangejadili kwenye halmashauri ili wajue namna ya kuwasaidia hao Walimu kwa Nauli hii ya vitambulisho mhhhhhhhhhhhhh!Hii lin ni figisu ya kipuuzi mno ya kisiasa ndio maana hawawezi kupewa allowance kwakuwa wakipewa wa dar wa mikoani nao watataka
Hayo magari yanapata ruzuku ya serikali???
Weka haraka namba za magari yaliyowatendea hivyo walimu hapa na yanaenda njia ipi .Ili washughulikiwe haraka iwezekanavyo tafadhali.