Alinifunza mama tangu ananiogesha ya kuwa Papuchi haitiwi sabuni ktk kuosha.. hbr za mjini zikaja mara tia ndimu, tia asali, osha na maji ya mchaichai, sabuni mara ya kaisiki, mara wkt ukiosha tia kidole kizungushe humo ndani kusugue kama vile mswaki mdomo. U.t.i zikawa zabisha hodi zinakaa kidogo zimeondoka baada ya tiba... sasa tangu niambiwe mwikooo na mapakuooo kutia kitu chochote humo zaidi ya mboo na Papuchi inajisafsha automatic mie hizooo fangasi nazisikiaga tu kwa wenginee