SamTu160
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 624
- 568
Congo anaechafua Amani ni USA, France and Belgium.... Rebels groups zinakuwa funded purposely, nchi zinatumika kuiba mali za Congo..., nchi hiz zina red line..Russia kutoenda Congo ni ukweli hakuwa na influence pale. Lakini Libya Urusi ilituangusha sana. Russia ana connection na Libya muda mrefu akakaa kimya . Amekuja kustuka Ukraine kwamba Nato lengo lao ni lá kihuni.1.peace hapana, angalia congo, somalia, afrika ya kati, israel vs palestina, misri, nk yaani kwa kifupi kwenye masuala amani urusi hata akikaa kimya hakuna hata atakayehoji tofauti na US akifanya hivyo.
2.energy ni sawa lakin kwa kuuza rasilimali zake kama afanyavyo saudia.
3.space tech sawa lakin haiwezi kukick sana duniani make mataifa yanayojihusisha na hizo mambo ni machache mno. ndo maana sie huku tunamuona mjapan yuko juu make toyota, nissan ziko hadi huku.