US 'mother of all bombs' killed 90 Isis militants, say Afghan officials

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,417
9,603


Maafisa wa usalama nchini Afghanistan wanasema kua zaid ya wapiganaji 90 wa kundi la kigaidi la Islamic State waliuawa na bomu kubwa lililodondoshwa na Marekani mnamo alhamisi.

Kiasi hicho ni mara mbili ya kiasi kilichokua kimekisiwa awali.

Source:The guardian
 
Mnafikiri watawala wa Afghanistani ambao ni ma puppet wa Marekani watasema nini kama siyo ku exaggerate namba ya vifo, tangu lini wapiganaji wa vita vya misituni wakajikusanya sehemu mmoja ili wauuwawe kirahasi - watu ambao hawajui masuala ya tacticts za hit and run zinazo tumiwa na waasi ndiyo wanaweza kupumbazwa/amini propaganda/madai ya Serikali ya Afghanistani na Trump eti wameuua waasi zaidi ya tisini, as if walikuwa wanaishi kwenye Barracks wakashtukizwa na M.O.A.B -jamaa hawa wasanii kweli kweli.

Watu wanacho sahau ni kwamba Trump apigani na a Regular Army huko Afghanistani anapigana na waasi ambao hawajikusanyi sehemu mmoja wakiwa wengi kwa ajili ya usalama na wala hawalali/ishi kwenye ma Barracks, hawavai uniform au kumobilised ma brigade au ma platoon kwenda vitani, waasi ni welevu sana kuliko Wamerika ndiyo maana Jeshi la USA bado linaendelea kupigana na Wateliban, huu ni mwaka wa kumi na sita bado Jeshi la Amerika linaendelea kupelekwa puta na Wateliban - they have nothing to show, leo hii ndiyo US Army wajifanye wanaweza kumchakaza Kim ndani ya mwezi mmoja - labda watumie Nuclear Bombs lakini kama ni conventional bombs nakuhakikishia Kim atawapa cha mtema kuni Askari wa Marekani wakithubutu kutia mguu kwenye aridhi ya Korea Kasikazini.
 
Hilo bomb LA Moab ni kubwa na linaharibu sehem kubw sana. Embu assume. Lina uzito wa tani 11... Pressure yake inauwezo wa kumsambaratisha mtu akawa vipande vipande
 
Yaani m-bomu wote ule umeua watu 90 tu?

May be they call it mother of all bombs cause there might be a father of all bombs.
 
Yaani m-bomu wote ule umeua watu 90 tu?

May be they call it mother of all bombs cause there might be father of all bombs.
Mkuu mimi naamini bomu linapigwa strategically, palikua na high profile ISIS hapo so hata kama ingekua mmoja kafa ni ushindi kwa US katika vita vyao, na pia nachukulia kama ni salamu kwa Kim wa Korea.
 

Wewe ni mtaalamu wa vita au??
 
Trump alikaririwa akisema "I will bomb the shit out of hell"

Inakadiriwa kuna wapiganaji wa ISIS takriban 800 kusinini mashariki mwa Afghanistan. palipodondoshewa M.O.A.B ni miongoni mwa maficho ya chini ya ardhi ya wapiganaji hao.

Pia kuuwawa maaskari 90 wa Isis ni kitu cha kawaida mkuu. sio kweli kwamba wao hawapigwagi. Wanapigwa lakini wanadhidi kujiimarisha.

Ila hilo bomu ni kwubwa balaa na halijawahi kutumika kwenye uwanja wa vita. Ni mara ya kwanza hiyo.
 
Mkuu mimi naamini bomu linapigwa strategically, palikua na high profile ISIS hapo so hata kama ingekua mmoja kafa ni ushindi kwa US katika vita vyao, na pia nachukulia kama ni salamu kwa Kim wa Korea.
Haya mambo ya west na east tuwaachie wenyewe........sisi ni mashabiki tu mkuu.
 
Wee unafikir mlipuko wa MOAB ni sawa na vyumba vya machinga complex????amsha hilo bongo lala mkuu
 
Tena LA Kleesoft dadeki mtanyooka tu
 
Uongo mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…