Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,924
- 15,629
Urusi imeionya nchi ya Moldova kuwa isitishie/isihatarishe usalama wa vikosi vya majeshi ya Urusi vilivyopo kwenye mkoa uliojitenga toka Moldova wa Transdniestria. Onyo hilo limetolewa na waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov, akisema kuwa kitendo hicho kinaweza kusababisha Urusi iingie vitani na nchi ya Moldova.
Urusi ilipeleka na kuyaweka majeshi yake ya kulinda amani kwenye mkoa huo wa Transdniestria toka mwaka 1992 pindipo waasi waliokuwa wakisapotiwa na Urusi walipopigana vita na kuteka maeneo takribani yote ya mkoa huo toka serikali ya Moldova.
Urusi yasisitiza kuwa majeshi yake yapo kule hadi leo kwa ajili ya kulinda amani, lakini Moldova yaitaka Urusi iondoe majeshi yake.
"Kila mtu anapaswa kuelewa kuwa kitendo chochote cha kuhatarisha usalama wa vikosi vyetu vya wanajeshi vilivyopo Transdniestria, kitachukuliwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa kama ni shambulio kwa nchi ya Urusi, kama ilivyokuwa suala la South Ossetia pindi walinda amani wetu waliposhambuliwa na raisi aliyepita wa Georgia, Saakashvili," Lavrov alifafanua zaidi.
Tukio hilo la mwaka 2008 la kushambuliwa majeshi ya kulinda amani ya Urusi na rais wa Georgia lilipelekea vita ya siku 5 ambapo majeshi ya Urusi yakatia fora kwa kuteka majiji mengi zaidi ya Georgia. Kisha muda mfupi tu baada ya vita hiyo, Urusi ikatangaza kuzitambua rasmi South Ossetia na Abkhazia, kama ni nchi mbili huru (toka kwenye nchi ya Georgia) . Sasa zajulikana rasmi kama Republic of South Ossetia na Republic of Abkhazia kama ilivyo kwa Republic of Tanzania.
Mkimuona Zelensky na Biden+NATO wanalialia juu ya Urusi kutangaza na kuzipa uhuru jamuhuri za Luhansk na Donetsk mjue wanaelewa vyema Putin anachoenda kuwatenda...Hayo maeneo ndio yameshaondoka rasmi Ukraine, itabaki tu yasimuliwa kuwa Luhanskna Donetsk hapo zamani za kale zilikuwa ni maeneo ya Ukraine.
======
(Reuters) - Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned Moldova on Thursday that threatening the security of Russian troops in the breakaway region of Transdniestria risked triggering military confrontation with Moscow.
Russia has stationed peacekeeping troops in Transdniestria since the early 1990s, when an armed conflict saw pro-Russian separatists wrest most of the region from Moldovan control.
Russia says its army is there to maintain peace and stability, but Moldova wants Moscow to withdraw its forces.
"Everyone should understand that any action that would threaten the security of our troops (in Transdniestria) would be considered under international law as an attack on Russia, as was the case in South Ossetia when our peacekeepers were attacked by (former Georgian president) Saakashvili," Lavrov said.
That incident, in 2008, resulted in a five-day war in which Russian forces seized several Georgian cities. Shortly afterwards, Moscow recognised South Ossetia and another Georgian breakaway territory, Abkhazia, as independent.
Transdniestria, which relies heavily on Moscow for support, reported a series of sporadic attacks in April, further raising tensions that were already high following Russia's intervention in Ukraine, which borders Moldova.
Urusi ilipeleka na kuyaweka majeshi yake ya kulinda amani kwenye mkoa huo wa Transdniestria toka mwaka 1992 pindipo waasi waliokuwa wakisapotiwa na Urusi walipopigana vita na kuteka maeneo takribani yote ya mkoa huo toka serikali ya Moldova.
Urusi yasisitiza kuwa majeshi yake yapo kule hadi leo kwa ajili ya kulinda amani, lakini Moldova yaitaka Urusi iondoe majeshi yake.
"Kila mtu anapaswa kuelewa kuwa kitendo chochote cha kuhatarisha usalama wa vikosi vyetu vya wanajeshi vilivyopo Transdniestria, kitachukuliwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa kama ni shambulio kwa nchi ya Urusi, kama ilivyokuwa suala la South Ossetia pindi walinda amani wetu waliposhambuliwa na raisi aliyepita wa Georgia, Saakashvili," Lavrov alifafanua zaidi.
Tukio hilo la mwaka 2008 la kushambuliwa majeshi ya kulinda amani ya Urusi na rais wa Georgia lilipelekea vita ya siku 5 ambapo majeshi ya Urusi yakatia fora kwa kuteka majiji mengi zaidi ya Georgia. Kisha muda mfupi tu baada ya vita hiyo, Urusi ikatangaza kuzitambua rasmi South Ossetia na Abkhazia, kama ni nchi mbili huru (toka kwenye nchi ya Georgia) . Sasa zajulikana rasmi kama Republic of South Ossetia na Republic of Abkhazia kama ilivyo kwa Republic of Tanzania.
Mkimuona Zelensky na Biden+NATO wanalialia juu ya Urusi kutangaza na kuzipa uhuru jamuhuri za Luhansk na Donetsk mjue wanaelewa vyema Putin anachoenda kuwatenda...Hayo maeneo ndio yameshaondoka rasmi Ukraine, itabaki tu yasimuliwa kuwa Luhanskna Donetsk hapo zamani za kale zilikuwa ni maeneo ya Ukraine.
======
Russia warns Moldova not to threaten its troops in breakaway region
This content was published on September 1, 2022 - 12:03September 1, 2022 - 12:03(Reuters) - Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned Moldova on Thursday that threatening the security of Russian troops in the breakaway region of Transdniestria risked triggering military confrontation with Moscow.